Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unahisi tukiachana na CBD tukahesabu jengo moja moja la ghorofa mpaka lingine kwa mji mzima mwanza inatoboa kwa Dom?

Vipi ushaitembelea chinangali, CBE, Majengo,mazengo,nyerere square, sabasaba, developed cities area n.k huko kote majengo marefu yanazidi inuka tu ndugu yangu kitu pekee mwanza inaizidi Dom kwa sasa ni ile density/kusongamana kwa maghorofa katika eneo finyu la CBD yao ukilinganisha na Dom.

Dodoma CBD imetanuka nje ya kariakoo yao ndogo inayoitenganisha na CBD nakuleta mwonekano wa kisasa na majengo mazuri yaliyoachiana uwazi wa kupumua ukilinganisha na Zoo na siku nyumba za bati au kawaida zikishaondoka zote kupisha ghorofa CBD ya Zoo ikatafute ligi yake kwenye suala la CBD.
Kwamba report ya sensa ya idadi ya maghorofa yaliyokatika majiji ukuona au unajitoa ufahamu?
 
Nitajie barabara yoyote ya vumbi ndani ya Dodoma CBD tulinganishe na barabara za vumbi na vichochoro vya Mwanza na Arusha visivyopangiliwa😆😆.
Kijani👇👇
Sasa braza unafananisha CBD za Ar,Mwanza na dodoma?! CBD ya dodoma saizi yake si kama Moshi tu
 
Dodoma imerekodi miradi sifuri . ndani ya mwezi July. Wakati mwanza ikirecord miradi 6 ....mpaka Sasa mwanza imerekodi miradi 12 Toka January wakati dodoma wana miradi 6 😁😁😁.....source TIC
Kinacho make sense ni value ya miradi sio namba tuu
 
Ujenzi wa Ofisi ya Makao Makuu AICT
Screenshot_20230823-131823_Google.jpg
 
Back
Top Bottom