Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma mnajenga estate locally sana ,pateni exposure hata hapo dar tu
Hivyo Vijiji vyenu mnaita Majiji vije kujifunza Dom

View: https://www.instagram.com/p/CwUhdWNNokm/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
-1262049715.jpg
-170631621.jpg
936036230.jpg
735836165.jpg
2013877052.jpg
180837074.jpg
 
Kilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza 😨

Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.

Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.

Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.

Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Mara ya mwisho kwenda Dodoma ni mwaka 80 na ngapi?
 
Back
Top Bottom