Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kituko 🤣🤣
IMG-20221105-WA0010.jpg
 
Hivyo vihotel wanafaa kujisifia watu wa Namtumbo.
Dodoma inajengwa na Serikali 😁😁😁Wivu utakuua 🤣🤣

Tuletee Kimoja kama hicho kutoka Mwanza maana nilisema ulete Cha namtumbo ntakuwa nakuonea maana hakipo.
 
Leta makazi ya dodoma 19.5km from CBD, acha kutafuta excuses
Kwani ni sifa kujenga mbali na Mji? Mji wenu ni slums ndio maana hakuna mpangilio na majengo(mabanda) yanajengws hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom