Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tulikubaliana Mwanza haijengwi na Serikali, private sector Iko wapi Sasa 😁😁
Private hii hapa
IMG-20230806-WA0108.jpg
 
Arusha tumetulia tu ukitoa dar kwa sasa hakuna anaitufikia kwa majengo
 
Unaongelea majengo gani? Hata takwimu tu huna, kashindaneni na wilaya ya Bahi kwenye kwenye nyumba za makuti zilizokandikwa kwa udongo.
 
Sina muda na

Ww

Unaonekana ni mweupe kichwan!!
Takwimu za sensa zinasema dar ina majengo ya ghorofa 32000+ inafuata arusha 7400+ halaf mwanza 2800+
 
Back
Top Bottom