The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mimi nakupa renders ambazo ziko under construction.[emoji23][emoji23][emoji23] wewe si ulisema wakuletee renders
Wewe tuletee hiyo list ya majengo over ten floors hapo dodoma, ambatanisha na pichaUnaongea mafyongo hapa huku umekwepa hoja ya kuleta walahu list ya majengo 5 above 10 flows toka Mwanza
Sawa lete tu mbili ili tuzione hali yakeSiwezi ziweka zote kwa picha ila kama unafahamu Dom ntakutajia kwa majina.
Iringa road ziko 2,mjini Kati ziko 2,njia ya Mwanza,junction ya airport na kule Mji wa serikali yaani ni za kumwaga.
Haya hapaUnaongea mafyongo hapa huku umekwepa hoja ya kuleta walahu list ya majengo 5 above 10 flows toka Mwanza
Yani toka asubuhi unapost tu hii picha na ile yenye jengo la vioo, na udom, na Kota 1000, yani Dom nzima hakuna vitu tofauti na hivi?Mimi nakupa renders ambazo ziko under construction.
Kwa mfano hii hoteli iko tayari kumalizia,ukiwa Mji wa serikali utaiona
View attachment 2081609
View attachment 2081610
Mzee ya ten floors yapo mawili tu hapa
Sawa bronze umedai nina porojo naipendelea Dodoma basi nakupa homework ndogo sana hili mpoteane nakutajia baadhi ya supermarkets na shopping malls zilizopo Dodoma:-Huyu mtu ana porojo Sana Ila ukimwambie alete hayo mazuri ya dodoma, anakuletea ikulu, Yale majengo ya Udom na render za zile Kota zinazofanana[emoji23][emoji23]
Dom haina tumajengo tulitorunfikana kama Mwanza,yako scattered maeneo mbali mbali.Mzee ya ten floors yapo mawili tu hapa
Dom ni kubwa Sana wewe.Yani toka asubuhi unapost tu hii picha na ile yenye jengo la vioo, na udom, na Kota 1000, yani Dom nzima hakuna vitu tofauti na hivi?
Tatizo umekariri chuo kimoja tu kichwani, Dodoma ni ya kibabe kuna vyuo mbalimbali vya serikali na private, kwa haraka haraka hapa kichwani kishaniijia chuo kikuu cha St.John bado vingine, we endelea kufurahi ukiwa zako huko vijijini ambako bila SAUT hamna chuo kikuu zaidi ya vitawi.Just imagine mwanza hadi vyuo vikuu navyo ni private dah [emoji23][emoji23][emoji263]
Na nyie mna uhakika hamjajisaidia barabarani na kujichambia ziwani, kwanza chimbeni vyoo kwanza ndo mrudi mjadala uendeleeKwanza watu wa dodoma mmeoga ? isije kuwa tunabishana na watu wananuka jasho ...Dodoma hebu toeni kwanza hio Town sprawl ndo mje tubishane
Wanajenga Technical College inaitwa Dodoma Institute of Technology (DIT-Dodoma?Tatizo umekariri chuo kimoja tu kichwani, Dodoma ni ya kibabe kuna vyuo mbalimbali vya serikali na private, kwa haraka haraka hapa kichwani kishaniijia chuo kikuu cha St.John bado vingine, we endelea kufurahi ukiwa zako huko vijijini ambako bila SAUT hamna chuo kikuu zaidi ya vitawi.
ππππ ,Umewaumbua Mkuu.Mimi siishi Dom Huwa nakuja kikazi,Kila nikija nakuta kumenoga.Sawa bronze umedai nina porojo naipendelea Dodoma basi nakupa homework ndogo sana hili mpoteane nakutajia baadhi ya supermarkets na shopping malls zilizopo Dodoma:-
1. Alfa mini supermarket
2. Rean min supermarket
3. Shabiby supermarket
4.Yashna supermarket
5. Tigo shop
6.Monalisa shopping
7.Liid shop
8.Mama king mini supermarket
9.Supermarket in seventh street
10. Two sister
11 SGA security supermarket
13.Aroma mini mart supermarket
14. Chezea shoppers
15.Iaimushi supermarket.
Naomba Mwanza mlete list yenu ya supermarkets na shopping malls 5 tu nje ya Rock City Mall (angalizo mkikosa msituletee list ya majina ya vi-mini supermarkets vilivyopo ndani ya jengo la Rock city mall) maana kama ni mall kubwa Dodoma pia ina Capital City Mall. Karibuni.
Nimekuletea majengo 4 hapo mwanzo, mengine ma 3 haya kwenye picha hii π.Wewe tuletee hiyo list ya majengo over ten floors hapo dodoma, ambatanisha na picha
Kaka usijekosea ukaja Dodoma kutuongezea idadi ya omba omba jijini, Hapa kiwanja kimoja bei yake unapata viwanja 5 huko mwanza hivyo kama ni hoe hae huwezi kuishi hata kwa kupanga au kununua nyumba kwenye jiji lililostaharabika na la matajiri kama Dom, hivyo endelea kuota ndoto za umasikini huko huko ziwani usije mjini wenzio tunapamudu ndiyo maana zinajengwa kwa wingi nyumba za hadhi yetu wana idodomia.Dodoma wananchi wake ni maskini hawawezi hata kujenga nyumba zao wenyewe mpaka waneamua kujengewa kota na serikali za kulipia polepole
Dodoma kuna vyuo vikuu viwili tu, udom na st John, weka mbali institutes najua zipo nyingi, pia mwanza kuna vyuo vikuu viwili, SAUT na CUHAS au Bugando ila institutes pia tunazoTatizo umekariri chuo kimoja tu kichwani, Dodoma ni ya kibabe kuna vyuo mbalimbali vya serikali na private, kwa haraka haraka hapa kichwani kishaniijia chuo kikuu cha St.John bado vingine, we endelea kufurahi ukiwa zako huko vijijini ambako bila SAUT hamna chuo kikuu zaidi ya vitawi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha sana..ungemwambia ashindanishe moshi na kibaigwaWapi ambako serikali haijengi miradi?
Na wewe wa Moshi usichafue Uzi tafuta manyoni ndio mshindane na Moshi.
Hayo maneno tu ukweli unaujua..ππππ Knock out,hicho kijiji kikashindane na Mbeya na Morogoro,Dom sio size ya Vijijini vya Wavuvi.
Vyombo vya habari private, mwanza ikijengwa km 1 ya barabara tanzania nzima wanapiga kelele eti inapendelewaJust imagine mwanza hadi vyuo vikuu navyo ni private dah [emoji23][emoji23][emoji263]