Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji23][emoji23][emoji23] wewe si ulisema wakuletee renders
Mimi nakupa renders ambazo ziko under construction.

Kwa mfano hii hoteli iko tayari kumalizia,ukiwa Mji wa serikali utaiona

Screenshot_20220114-223725.png

Screenshot_20220114-223704.png
 
Unaongea mafyongo hapa huku umekwepa hoja ya kuleta walahu list ya majengo 5 above 10 flows toka Mwanza
Wewe tuletee hiyo list ya majengo over ten floors hapo dodoma, ambatanisha na picha
 
Siwezi ziweka zote kwa picha ila kama unafahamu Dom ntakutajia kwa majina.

Iringa road ziko 2,mjini Kati ziko 2,njia ya Mwanza,junction ya airport na kule Mji wa serikali yaani ni za kumwaga.
Sawa lete tu mbili ili tuzione hali yake
 
Huyu mtu ana porojo Sana Ila ukimwambie alete hayo mazuri ya dodoma, anakuletea ikulu, Yale majengo ya Udom na render za zile Kota zinazofanana[emoji23][emoji23]
Sawa bronze umedai nina porojo naipendelea Dodoma basi nakupa homework ndogo sana hili mpoteane nakutajia baadhi ya supermarkets na shopping malls zilizopo Dodoma:-

1. Alfa mini supermarket

2. Rean min supermarket

3. Shabiby supermarket

4.Yashna supermarket

5. Tigo shop

6.Monalisa shopping

7.Liid shop

8.Mama king mini supermarket

9.Supermarket in seventh street

10. Two sister

11 SGA security supermarket

13.Aroma mini mart supermarket

14. Chezea shoppers

15.Iaimushi supermarket.

Naomba Mwanza mlete list yenu ya supermarkets na shopping malls 5 tu nje ya Rock City Mall (angalizo mkikosa msituletee list ya majina ya vi-mini supermarkets vilivyopo ndani ya jengo la Rock city mall) maana kama ni mall kubwa Dodoma pia ina Capital City Mall. Karibuni.
 
Just imagine mwanza hadi vyuo vikuu navyo ni private dah [emoji23][emoji23][emoji263]
Tatizo umekariri chuo kimoja tu kichwani, Dodoma ni ya kibabe kuna vyuo mbalimbali vya serikali na private, kwa haraka haraka hapa kichwani kishaniijia chuo kikuu cha St.John bado vingine, we endelea kufurahi ukiwa zako huko vijijini ambako bila SAUT hamna chuo kikuu zaidi ya vitawi.
 
Kwanza watu wa dodoma mmeoga ? isije kuwa tunabishana na watu wananuka jasho ...Dodoma hebu toeni kwanza hio Town sprawl ndo mje tubishane
Na nyie mna uhakika hamjajisaidia barabarani na kujichambia ziwani, kwanza chimbeni vyoo kwanza ndo mrudi mjadala uendelee
 
Tatizo umekariri chuo kimoja tu kichwani, Dodoma ni ya kibabe kuna vyuo mbalimbali vya serikali na private, kwa haraka haraka hapa kichwani kishaniijia chuo kikuu cha St.John bado vingine, we endelea kufurahi ukiwa zako huko vijijini ambako bila SAUT hamna chuo kikuu zaidi ya vitawi.
Wanajenga Technical College inaitwa Dodoma Institute of Technology (DIT-Dodoma?

Bado wanajenga mashule ya kisasa ya mfano ,yaani Dom ni noma
 
Sawa bronze umedai nina porojo naipendelea Dodoma basi nakupa homework ndogo sana hili mpoteane nakutajia baadhi ya supermarkets na shopping malls zilizopo Dodoma:-

1. Alfa mini supermarket

2. Rean min supermarket

3. Shabiby supermarket

4.Yashna supermarket

5. Tigo shop

6.Monalisa shopping

7.Liid shop

8.Mama king mini supermarket

9.Supermarket in seventh street

10. Two sister

11 SGA security supermarket

13.Aroma mini mart supermarket

14. Chezea shoppers

15.Iaimushi supermarket.

Naomba Mwanza mlete list yenu ya supermarkets na shopping malls 5 tu nje ya Rock City Mall (angalizo mkikosa msituletee list ya majina ya vi-mini supermarkets vilivyopo ndani ya jengo la Rock city mall) maana kama ni mall kubwa Dodoma pia ina Capital City Mall. Karibuni.
🙏🙏🙏🙏 ,Umewaumbua Mkuu.Mimi siishi Dom Huwa nakuja kikazi,Kila nikija nakuta kumenoga.
 
Dodoma wananchi wake ni maskini hawawezi hata kujenga nyumba zao wenyewe mpaka waneamua kujengewa kota na serikali za kulipia polepole
Kaka usijekosea ukaja Dodoma kutuongezea idadi ya omba omba jijini, Hapa kiwanja kimoja bei yake unapata viwanja 5 huko mwanza hivyo kama ni hoe hae huwezi kuishi hata kwa kupanga au kununua nyumba kwenye jiji lililostaharabika na la matajiri kama Dom, hivyo endelea kuota ndoto za umasikini huko huko ziwani usije mjini wenzio tunapamudu ndiyo maana zinajengwa kwa wingi nyumba za hadhi yetu wana idodomia.
 
Tatizo umekariri chuo kimoja tu kichwani, Dodoma ni ya kibabe kuna vyuo mbalimbali vya serikali na private, kwa haraka haraka hapa kichwani kishaniijia chuo kikuu cha St.John bado vingine, we endelea kufurahi ukiwa zako huko vijijini ambako bila SAUT hamna chuo kikuu zaidi ya vitawi.
Dodoma kuna vyuo vikuu viwili tu, udom na st John, weka mbali institutes najua zipo nyingi, pia mwanza kuna vyuo vikuu viwili, SAUT na CUHAS au Bugando ila institutes pia tunazo
 
😂😂😂😂 Knock out,hicho kijiji kikashindane na Mbeya na Morogoro,Dom sio size ya Vijijini vya Wavuvi.
Hayo maneno tu ukweli unaujua..
washukuruni Nyerere na Magufuli wa kanda pendwa kuwpigania.
Siku Magufuli anaitangaza kuw jijikwa nguvu(bila vigezo) kila mtu alimshangaa kijiji kinawezaje kuwa jiji.
Wagogo mnasitahili kubebwa tu hamna mnaloweza.
 
Just imagine mwanza hadi vyuo vikuu navyo ni private dah [emoji23][emoji23][emoji263]
Vyombo vya habari private, mwanza ikijengwa km 1 ya barabara tanzania nzima wanapiga kelele eti inapendelewa
 
Back
Top Bottom