Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Sasa hapa unatetea nini? Inshu ni kuwa kiwanja cha moshi kipo wapi kama siyo hapo jirani na soweto-veta, kuhusu international kama KIA nani amekwambia Dodoma haina mpango wa kuwa na DIA
Kile kiwanja Cha Moshi Cha Soweto kipo location nzuri na kina eneo kubwa huwezi fananisha na Cha Dodoma
 
Nilikua Mwanza 2018, Arusha 2021, Dodoma 2018 na kisha 2022. Mtoa mada upo sahihi kwa hoja ya Dodoma kukua kwa kasi hasa kuongezeka kwa majengo marefu (maghorofa) na mandhari nzuri kwani nimenotice the difference. Hata hivyo bado haijaifikia Mwanza, kidogo inaanza kuisogelea Arusha kwa experience yangu.
Dodoma lazima ikue kwa kasi kwa sababu ya serekali kuwekeza nguvu kubwa, sio ajabu kuipita mwanza
 
Hizi ni list za majengo yenye ghorofa kuanzia 10 mpaka 13 naomba Mwanza kama mna ubavu leteni list yenu hapa kuipiku hii;

1. D.S Hotel Dodoma tower
2. Dodoma city hotel
3. LAPF Tower
4. MCT
5. PSPF
6. Uchaguzi house
7. PSSSF HOUSE
8.GENWILL HOTEL APARTMENTS
9. MMA HOUSE OF BEAUTY
10. KAMBARAGE TOWER
 
D.S hotel naona mbunge wa makambako kaamua kujilipua na Dodoma kaweka kitu cha maana,
 
Acha kufananisha Mwanza na vitu vya hovyo ww. Hapo Dodoma kuna kitu gani cha kuizidi Mwanza, there is no way Dodoma ikaipita Mwanza labda miaka kumi mbele na apo u-assume Mwanza imesisma haiendelei kitu ambacho hakipo. Jipange upya
 
Kile kiwanja Cha Moshi Cha Soweto kipo location nzuri na kina eneo kubwa huwezi fananisha na Cha Dodoma
We nae umeanza kulala wakati unacomment yaani sababu ya kukishambulia kiwanja chenye vigezo vyote vya miundombinu muhimu, vifaa vya usalama na uzio, terminal ndogo na run way ndefu kuliko hata kile cha Mwanza ni nini hasa au unafikiri ukubwa wa kiwanja ni eneo la nyasi? Pale tunachoangalia ni eneo la kuwezesha ndege kutua nakupaki ambavyo vyote vipo na ni lami na zege safi.

Hicho kiwanja unachokisifu cha moshi nje ya vichaka kina sifa zipi na matumizi yapi? Kati yake na kile cha Dodoma kipi kinavutia kimwonekano? Kipi kina matumizi mengi na kinapokea mpaka Air Tanzania kati ya hivyo viwili? Hata mji mkuu wa nchi jirani kuna viwanja viwili vya ndege kikubwa ni international na kingine kidogo cha domestic, why Dodoma isiwe navyo viwili?
 
Zaidi ya hapo cbd ,huko kwingine ni slums tupu 😆
Kumbe mnaviwanda kumi!!!!!

Screenshot_20220114-202304.png

Screenshot_20220114-125451.png

Screenshot_20220114-125444.png

Screenshot_20220114-125411.png

Screenshot_20220114-102805.png

Screenshot_20220114-102712.png
 
Acha kufananisha Mwanza na vitu vya hovyo ww. Hapo Dodoma kuna kitu gani cha kuizidi Mwanza, there is no way Dodoma ikaipita Mwanza labda miaka kumi mbele na apo u-assume Mwanza imesisma haiendelei kitu ambacho hakipo. Jipange upya
Wamekuja wengi kama wewe wameishia kuondoka kwa adabu mikono nyuma huku wameinamisha vichwa kwa aibu baada ya kugundua mwanza yao imenyewa ile mbaya na Dodoma
 
Hizi ni list za majengo yenye ghorofa kuanzia 10 mpaka 13 naomba Mwanza kama mna ubavu leteni list yenu hapa kuipiku hii;

1. D.S Hotel Dodoma tower
2. Dodoma city hotel
3. LAPF Tower
4. MCT
5. PSPF
6. Uchaguzi house
7. PSSSF HOUSE
8.GENWILL HOTEL APARTMENTS
9. MMA HOUSE OF BEAUTY
10. KAMBARAGE TOWER
1.Nssf capripoint
2.Tecno tower
3.Mongo tower
4.Ekaclif
5.nssf town
6.Gold crest
7.seif plaza
8.liberty tower
9.Tivoli texas tower, pepsi
10.Bajber, rufiji new
11.Maduhu, uhuru new
12bugando
NB.ukitaka mengine nambie nikutumie pamoja na picha.
 
Orodhesha yote ukimaliza niambie,nakupa mtaa mmja tuu wa apartment una clear hiyo ragage
 
Back
Top Bottom