Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mnapoteza bilion 300+ eti kwa kujenga kiwanda cha meli, mbona Mwanza huwa hamna kiwanda na meli zinajengwa hii ni njia za upigaji wa wazi wazi, nchi la ovyo sana hili taka taka kabisaa.
Wapi huko ambako Kuna kiwanda Cha meli?

Pili ni kiwanda Cha Serikali au Mwekezaji? Kama ni Serikali tupinge huu ni upuuzi.
 
Wapi huko ambako Kuna kiwanda Cha meli?

Pili ni kiwanda Cha Serikali au Mwekezaji? Kama ni Serikali tupinge huu ni upuuzi.
Huyu mama na watu wake wameshaanza kutuona sisi ni mambuzi ya kufugwa huu upumbavu si wa kufumbia macho, uwepo wa chelezo unatosha kutengenezea meli, Mwanza hakuna kiwanda cha meli na bado kila siku meli na vivuko vikubwa vinajengwa, leo hii wanataka kuiibia serikali zaidi ya bilion 300 eti kujenga kiwanda cha meli, tunaomba kama mnataka kujenga kiwanda mjenge kiwanda cha magari tuwaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…