Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hujawahi kukanyaga hoteli yoyote apa Posta najua utabisha sana.Nakusaidia πŸ‘‡πŸ‘‡juzi nilikuepo Golden Tulip City Centre ulizia bei ya kulala standard room
Acha ushamba basi who should justify kwamba ulikuwa tulip hotel?. Mbona kama unajikuta sana mwamba, kwamba unaamini sisi hatupajui?. Hata ujinga unatakiwa uwe na kikomo budaa.
 
Ficha aibu yako, unatuonyesha empty plots
 
Mwanza Hakuna Hospital Kali kuzidi Mbeya ,wewe elewa hivyo.

Sio mara ya kwanza napiga za utosini ,ni sawa na kwenye Vyuo Mwanza ni zero Kwa Mbeya.
Siingilii battle zenu, ila kuifananisha Mbeya na Mwanza ni kuikosea heshima mwanza, jiji limejaa nyumba za udogo, City centre pamepoa hamna hata majengo ya kisasa, mji upo alongside the road ukienda ndani kidogo tu ni slums kibao. Mbeya na Tanga ni majiji ya mchongo tu, kwangu mimi bora hata Morogoro ina hadhi kidogo.
 
Acha ushamba basi who should justify kwamba ulikuwa tulip hotel?. Mbona kama unajikuta sana mwamba, kwamba unaamini sisi hatupajui?. Hata ujinga unatakiwa uwe na kikomo budaa.
πŸ˜€πŸ˜€Tafuta hela ukanyage apo sikumoja na wewe
 
Narudia kukwambia
Mwanza haiwezi Mbeya Kwa hospital
Mwanza haiwezi Mbeya Kwa Vyuo
Mwanza imejaa slums kuzidi Mbeya
 
Iyumbu Satellite City hiyo....Mwanza haitatokea mitaa iliyopangiliwa kama hii
Ukijua namna ya kupost picha nitakujibi hoja zako ..ila endelea kula spana
WAGG HILL CAMPSITE RESORT
Ecological and natural attractive city ... never in DODOMA desert
 
Rock city landmark.. tourist viewsite ...yako maeneo yenu natural ya kitalii

Ukijua namna ya kupost picha nitakujibi hoja zako ..ila endelea kula spana
WAGG HILL CAMPSITE RESORT
Ecological and natural attractive city ... never in DODOMA desert View attachment 2981666View attachment 2981667
View attachment 2981662
Umebakia kupost picha za Ziwa Victoria ....ndio kimebaki kichaka chako .Nilishakwambia picha za Ziwa hata Kigoma,Musoma,Mbamba Bay,Nansio,Bukoba tunazipata hakuna cha ajabu nataka unioneshe "man made features" kwa mfano mtaa mzima(zaidi ya nyumba 1000) apo Mwanza ambao umepangiliwa kama Iyumbu Satellite City..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo umeona ziwa tu sio ..kama na nyie mnalo si mposti. ..
Nimepost resort na campsite yenye mazingira mazuri hapo Kwanni na wew usipost mazingira kama hayo kama mnayo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hapo umeona ziwa tu sio ..kama na nyie mnalo si mposti. ..
Nimepost resort na campsite yenye mazingira mazuri hapo Kwanni na wew usipost mazingira kama hayo kama mnayoView attachment 2981688

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Siwezi kupost mazingira hiyo ni "natural feature" napost "man made features" ndizo zinazotofautisha maendeleo ya mji husika na mwingine. Kama mazingira ingekua kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Makete,Mafinga,Njombe zingekua na hadhi ya Jiji zamani sana...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unataka tupost usije kukumbia tu.
 
πŸ˜€πŸ˜€Tafuta hela ukanyage apo sikumoja na wewe
Halafu ukute kajitu kenyewe kafupi cheusi kapiga debe stand kananitunishia misuli. Dunia hii Ina vitu vingi vya ajabu pamoja na hiki.
 
Bado hujasema [emoji2]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Halafu ukute kajitu kenyewe kafupi cheusi kapiga debe stand kananitunishia misuli. Dunia hii Ina vitu vingi vya ajabu pamoja na hiki.
Sifa yangu kubwa humu JF inayonitofautisha na wengine ni uwezo wa kujibu hoja kwa hoja ,facts kwa facts,evidence kwa evidence. Huwa sijibu michambo,porojo,ngonjera,stori za vijiweni hizo peleka Facebook ndio level zakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo porojo ya kusema ulikuwa tulip hotel dsm inajibiwa kwa fact zipi?. Halafu hiyo ya tafuta Hela uende golden tulip unaona kwako siyo porojo. Au unataka kila mtu aanze kujimwambafy. Anyway jikite kwenye hoja usipende sifa.
 
Hiyo porojo ya kusema ulikuwa tulip hotel dsm inajibiwa kwa fact zipi
πŸ˜€πŸ˜€evidence kwa evidence ...ushahidi ni hizo picha nilizotupia au nikuongezee nyingine upasuke kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…