Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mbogwe ni level nyingine kwa uzalishaji wa mpunga kwa kanda ya ziwa hakuna eneo linazidi Mbogwe, na kuna migodi ya dhahabu maeneo mengi ndani ya wilaya hiyo
Umezungumzia kwa kanda ya ziwa ila naamini hiyo Mbogwe hata uipambe vipi haiifikii mpanda kwa mpunga na mahindi
Sasa mpaka hapo hujanishawishi kwa kigezo Cha kuchaguliwa,labda uniambie kwa utashi wa wenye maamuzi!
 
πŸ˜€πŸ˜€evidence kwa evidence ...ushahidi ni hizo picha nilizotupia au nikuongezee nyingine upasuke kabisa
Acha porojo hatufahamiani ni Bora tukabishana tu kwa mambo mengine na si kwa life style. Picha hata google zipo za kutosha by the way uwanja ni wako bro post mpaka uchoke.
 
Umezungumzia kwa kanda ya ziwa ila naamini hiyo Mbogwe hata uipambe vipi haiifikii mpanda kwa mpunga na mahindi
Sasa mpaka hapo hujanishawishi kwa kigezo Cha kuchaguliwa,labda uniambie kwa utashi wa wenye maamuzi!
Kuna migodi ya dhahabu zaidi ya mitano, serikali inapata mapato ya kueleweka
 
Nyegezi is going πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Huwa mnatuambia Kanda ya Ziwa ana Madini sana,vipi mbona hamjengewi supportive infrastructures? πŸ˜†πŸ˜†

Kanyaga twende Dom πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1785694130707812700?t=NOduEYoejyz9E7x6J5Ln-g&s=19
Storage wanajenga kwa sababu ya Makao Makuu ya nchi! Sasa hiyo storage itasaidia nini mwananchi wa kawaida wa mkoa wa Dodoma? Ka hiyo wewe vita yako ni Mwanza ambayo inauchumi mkubwa kuliko Mbeya na Dodoma!
Bro Mwanza sio mkoa mdogo mambo mengine ya siasa na kubishana achana nayo!
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨,Kutoka Bajeti ya Uchukuzi soma Namba Vipi & X πŸ‘‡πŸ‘‡
 
makao makuu ya kituo Cha mawasiliano na uokoaji ziwa Victoria. Africa mashariki chaanza ujenzi Ilemela
 
Lakini sio Mali ya Mkoa wa Mwanza.

Kwa Sasa Serikali Iko mbioni kuanza kujenga Sgr ya Tanga-Arusha-Musoma ,sijui Mwanza mtasalia na nini maana biashara zitahamia Musoma.
Kumbe Kuna Mali za mikoa na zisizo mikoa...mbona bado hujasema
Hii ni Mali ya nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…