Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hapo kwenye Jiji la ukweli la Mwanza nionyeshe keep left japo 3 mimi nakupa baadhi tu za DomπŸ‘‡











 
Dom hatuna slums za huko milimani kama kenge wa Bara
 
Kwani nani ameahindanisha, hivi kwa akili yako ndogo ushawahi kuona mkazi yeyote wa Mwanza anakuja kufungua Uzi humu kujilinganisha na sehemu nyingine!? Nyie kinachowatesa ni inferiority complex
Atafunguaje Ili ajiaibishe?
 
Hapo kwenye Jiji la ukweli la Mwanza nionyeshe keep left japo 3 mimi nakupa baadhi tu za Dom[emoji116]

View attachment 2082729

View attachment 2082730

View attachment 2082731

View attachment 2082732

View attachment 2082733
we mgogo una matatizo sana...we si ndio jana ulituma mpaka picha za Mwanza ukidai ni dodoma? kila mtu akakudharau...et umechukua picha ya mwanza unatuambia dodoma! mi hata sitaki kubishana na ww nilichokigundua natumia nguvu kubwa kumbe we unachohitaji ni kupata comment nyingi kwenye uzi wako.....iambie serikali yako bas iitangazie umma kwamba dodoma ndio second city baada ya dar
 
kwa comment hizo tulizozijaza kwenye uzi wako zinatosha ngoja tuangalie hoja zenye mashiko kwenye majukwaa mengine ....maana tunaonekana kama wote hatuna akili eti kuishindanisha kijiji hiko na Mwanza
 
Picha zipi za Mwanza hizo?

Maneno meeengi na excuses kibao,Dom inawajambia tuu.
 
Posta keep left

Nimegundua jiji letu la mwanza halina picha kabisa nimehangaika sana kuzipata hizi.. round about nyingi hata mtandaoni hazimo hiii ni changamoto halafu wengi hatupo mwanza so zinapokuja battle kama inakua ni changamoto kweli kweli kuwanyoosha hawa haters mfano keep left za kitangiri,airport na busweru wilayani kwa chini kama unaelekea kahama hazipo hata mtandaoni
 
Ila ukiingia google ya wazungu mpangilio upo hivi
1.Dar
2.Mwanza
3.Zanzibar
4.Arusha
5.Tanga
6.Mbeya
7.sijaona Dodoma
 
Nami napata changamoto hiyo mkuu ningekuwa na drone camera ningetuma picha za maeneo mengi lkn namna ya kuzipata, kuna maeneo kama Nyasaka, buswelu, bwiru, isamilo, buzuruga, mkolani, etc
 
πŸ™πŸ™
 
Walikuwa wanategemea hisani ya serikali sasa itarudi kwenye level za wakina manyoni, manyara na bariadi hiyo ndio size ya dodoma
 
Kwa hiyo hakuna infrastructure zinazoendelea ww unazan Mwanza imelala, mwanza ina mega projects za maana tulia kijana kunywa uji.
 
Mlichosalia saizi ni kujifariji,ooh serikali ita...ita...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
Mwanza haitegemei serikali kama wakitaka kuleta maendeleo zaid ni hiyari yao lakini sisi tunasonga nyie kaeni mkitegemea kujengewa nyumba na serikali.
 
Kwani nani ameahindanisha, hivi kwa akili yako ndogo ushawahi kuona mkazi yeyote wa Mwanza anakuja kufungua Uzi humu kujilinganisha na sehemu nyingine!? Nyie kinachowatesa ni inferiority complex
Hii kitu huwa nashangaa watu wanapenda kuilinganisha Mwanza na vitu vya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…