ujue hawa wagogo wanatafuta kick tu umu majukwaani lengo lao ni kutaka kuipaisha dodoma ili ionekane kama mji wa maana sana kimbe si lolote si chochote....sababu hakuna mtu asiyefaham kama mwanza ni jiji la pili tanzania hapa ukiondoa Dar!! na ukitaja orodha ya majiji hasa tanzania yapo matatu ayo ndio yanatambulika kama majiji ya ukweli
( 1 ) Dar
( 2 ) Mwanza
( 3) Arusha
ukiangalia hata nick name zao zinapendeza.
Bongo au wenyewe wanapaita town
- the rock city
- A-town au chuga
yaan majina tu ukiangalia yanasadifu umaridhawa wa miji!
Mwanza ina ghorofa ya flow 17 jengo hilo lina sehemu kabisa ya kutua helkopta
maana kuna mdau kasema mwanza hakuna jengo refu linalozid flow 10 sasa nakutumia jengo moja tu halafu utanipa jibu kama hii ni mwanza au washington? utanitag babu
View attachment 2082592