Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhawawezi na haitatokea wakaonesha picha ya mtaa mzima kwamfano huo uliopangiliwa wa Iyumbu....wanachoweza ni kupost Ziwa Victoria au nyumba moja moja za watu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanaokoteza tupicha twa kajengo kamoja Moja wanakuja kuweka ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Wanaona aibu tutaona uswazi wao ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wanaokoteza tupicha twa kajengo kamoja Moja wanakuja kuweka ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Wanaona aibu tutaona uswazi wao ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ngoja tuwasaidie kupost๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡
 
Attachments

  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM-1-420x280.png
    230.5 KB · Views: 4
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM-860x574(1).png
    599.9 KB · Views: 5
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.54-PM-420x280.png
    164.1 KB · Views: 4
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.49-PM-420x280.png
    163.5 KB · Views: 4
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.48-PM-420x280.png
    228 KB · Views: 5
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.42-PM-420x280.png
    168.2 KB · Views: 5
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.52-PM-420x280.png
    179.9 KB · Views: 4
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.47-PM-420x280.png
    171.9 KB · Views: 4
Kuna baadhi ya huduma za kijamii na hata sekta za kiuchumi za kimkakati zinakuwepo kwa sababu ya mahitaji kutoka kwenye eneo husika.

Kwa mfano Hospitali ya macho ya taifa ilijengwa DODOMA kwa sababu Dodoma ilikuwa ndio eneo lenye watu wengi wenye magonjwa ya macho. Facts kama hizi sio za kujisifia.

Sio rahisi kukuta viwanda vya mvinyo wa zabibu huko Mwanza kama ambavyo huwezi kukuta viwananda vya kusindika minofu ya samaki Dodoma.

Kwa sababu hiyo, nawaasa muache kubishana kama vitoto vya shule ya msingi. Ni bora mkachangiana mawazo kwa ajili ya kupeana Fursa katika mikoa hii kuliko kujaza mapicha ya maeneo ambayo wengi wenu hamuwezi hata kufika.

Mwenye Masikio na asikie.
 
Kwa mfano Hospitali ya macho ya taifa ilijengwa DODOMA kwa sababu Dodoma ilikuwa ndio eneo lenye watu wengi wenye magonjwa ya macho. Facts kama hizi sio za kujisifia.
Hakuna hospitali ya taifa ya magonjwa ya macho Dodoma bali iliyopo ni DCT MVUMI Hospitali ambayo hadhi yake ni DDH ila ina uzoefu,wataalamu na vifaa vya kutosha kwenye matibabu ya magonjwa ya macho na miwani ndiomana baadhi ya wagonjwa kutoka hata KCMC,Bugando,Muhimbili wanapewa rufaa kwenda Mvumi Hospital.
 
Unaongea vitu vya vijiweni ..yaani mtu atoke bugando eye clinic aende mvumi.. hospital ya wilaya .. kawadanganye wasandawe wenzio
 
Unaongea vitu vya vijiweni ..yaani mtu atoke bugando eye clinic aende mvumi.. hospital ya wilaya .. kawadanganye wasandawe wenzio
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Eti stori za vijiweni unataka kubishana na reality...Magufuli(RIP) alipeleka nduguyake kutoka Chato kwenda kutibiwa Hospitali ya Mvumi Dodoma vp Bugando na Mvumi wapi ni mbali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Kumbe anataka ..nilijua alitangaza mvumi kuwa hospital ya macho ya taifa ...we ni chizi ....
 
Aliwahi kumpeleka mzee wake akitokea wapi au hujui wabunge Kuna kipind wanakaa dodoma na ndugu zao ..
 
Kumbe anataka ..nilijua alitangaza mvumi kuwa hospital ya macho ya taifa ...we ni chizi ....
Unabisha ilimradi uonekane na wewe unabishana na mimi ...nimekuuliza ilikuwaje mgonjwa atoke Chato aende kutibiwa Mvumi (zaidi ya km 700) na sio Bugando ambapo ni karibu na Chato kama sio ubora wa DCT Mvumi Hospital ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kumbe anataka ..nilijua alitangaza mvumi kuwa hospital ya macho ya taifa ...we ni chizi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ