ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wanaokoteza tupicha twa kajengo kamoja Moja wanakuja kuweka 🤣🤣🤣🤣🤣hawawezi na haitatokea wakaonesha picha ya mtaa mzima kwamfano huo uliopangiliwa wa Iyumbu....wanachoweza ni kupost Ziwa Victoria au nyumba moja moja za watu 😂😂
Wanaona aibu tutaona uswazi wao 😁😁