Hizi takwimu ni "regional wise" au "city wise"...anzisha thread mpya ya kushindanisha mikoa badala ya majiji ππView attachment 2997443
Token mkiani kwanza
Acha ulofa basi dogo, Toka ubikiriwe umekuwa wayu wayu sana. Unajipendekeza hovyo hovyo Mimi situmiagi hiyo kisamvu. Acha shobo basi...We mbuzi ,Mimi sijawahi tishwa na kima yeyote na jf nzima inanifahamu kwamba Mimi ni mtata..
Dodoma inaendelea kugawa full doze Kwa dampo la Mwanza.ππ
View: https://www.instagram.com/p/C7TYe0jI21n/?igsh=cm92azRvNTBybHIw
Leta miradi ya Mwanza wewe Ng'ombeAcha ulofa basi dogo, Toka ubikiriwe umekuwa wayu wayu sana. Unajipendekeza hovyo hovyo Mimi situmiagi hiyo kisamvu. Acha shobo basi...
Usijaribu kujamba utakunya, sphincter muscles zilishalegezwa na wahuni, mende weweLeta miradi ya Mwanza wewe Ng'ombe
Bado hujasema ng'ombe hujuiππHizi takwimu ni "regional wise" au "city wise"...anzisha thread mpya ya kushindanisha mikoa badala ya majiji ππ
Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000...Dodoma ilipewa hadhi ya Jiji 2018.Maendeleo yaliyopatikana Dom kwa kipindi kichache tu ukilinganisha na Mwanza ni sawa na mbingu na Ardhi ππ.Mwanza wana kazi ya ziada sana kuifikia rekodi ya Dom City....wanatakiwa wapambane kwanza na hizi changamotoππView attachment 2997491
Mwanza ya mwaka 2011 na hapo ni nje ya CBD
View attachment 2997491
Mwanza ya mwaka 2011 na hapo ni nje ya CBD
Nini Cha maana kimebadilika hapo wewe nguchiro.Usijaribu kujamba utakunya, sphincter muscles zilishalegezwa na wahuni, mende wewe
ππSubiri waje kukwambia Dodoma ni jangwa,ukame,hakuna ukijani,hakuna maghorofa,hakuna miti,hakuna Ziwa Victoria πππNini Cha maana kimebadilika hapo wewe nguchiro.
Ona jinsi Jiji la Dodoma linapendeza na limeendelea hapa π
View: https://youtu.be/o9UPEg5IsBQ?si=7ArXeRvUe4SsjvT1
UShamba wako mzigo wako mwenyewe, unaona Kuna kitu unaweza kumtambia mtu kweli. Stations zipo kila mahali, kawatambie wabena wenzio kichwa Cha panzi wewe.Nini Cha maana kimebadilika hapo wewe nguchiro.
Ona jinsi Jiji la Dodoma linapendeza na limeendelea hapa π
View: https://youtu.be/o9UPEg5IsBQ?si=7ArXeRvUe4SsjvT1
Za Mwanza is Slum ziko wapi wewe looser wa igoma? ππUShamba wako mzigo wako mwenyewe, unaona Kuna kitu unaweza kumtambia mtu kweli. Stations zipo kila mahali, kawatambie wabena wenzio kichwa Cha panzi wewe.
Utaendelea kujifariji hivyo Hadi ...piga mazingira ya nje ikifika mwezi wa sita utupie humu ili tukubali unachokisemaππSubiri waje kukwambia Dodoma ni jangwa,ukame,hakuna ukijani,hakuna maghorofa,hakuna miti,hakuna Ziwa Victoria πππ
Record zipi labda tuanze kwanzaMwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000...Dodoma ilipewa hadhi ya Jiji 2018.Maendeleo yaliyopatikana Dom kwa kipindi kichache tu ukilinganisha na Mwanza ni sawa na mbingu na Ardhi ππ.Mwanza wana kazi ya ziada sana kuifikia rekodi ya Dom City....wanatakiwa wapambane kwanza na hizi changamotoππ
-Barabara mbovu(Mwanza ni mojawapo ya majiji yenye shida ya barabara inazidiwa hata na baadhi ya manispaa angalia kwamfano barabara nyembamba ya Kenyatta Road inayopita hadi katikati ya mji kila mgeni anayeingia Mwanza anashangaa sana ππ
-Changamoto ya uwanja wa ndege sijui lile jengo la abiria litakamilika liniππ
-Mipango miji ni F kabisa
Kwa Dodoma ni shule ila ingekuwa Mwanza mneita Mwanza University π€ͺπ€ͺππRecord zipi labda tuanze kwanza
Kwa Dodoma ni shule ila ingekuwa Mwanza mneita Mwanza University π€ͺπ€ͺππ
View: https://youtu.be/gewCPP0zhsg?si=o6LO88wQb4OwajwB
ππDom wanapendelewa sana kiukweli ...hii ni shule ya mfano Tanzania na East Africa yote(labda ukienda South Africa ndio unaweza kukuta level hizo) .Ujenzi wake toka "scratch" umesimamiwa na kufanywa na Jeshi. Eneo lilipojengwa(mpangilio),miundombinu,ubora na ukubwa wake ni zaidi ya Faculty ya Chuo Kikuu UDSM.Kwa Dodoma ni shule ila ingekuwa Mwanza mneita Mwanza University π€ͺπ€ͺππ
View: https://youtu.be/gewCPP0zhsg?si=o6LO88wQb4OwajwB
Na Bado ππππDom wanapendelewa sana kiukweli ...hii ni shule ya mfano Tanzania na East Africa yote(labda ukienda South Africa ndio unaweza kukuta level hizo) .Ujenzi wake toka "scratch" umesimamiwa na kufanywa na Jeshi. Eneo lilipojengwa(mpangilio),miundombinu,ubora na ukubwa wake ni zaidi ya Faculty ya Chuo Kikuu UDSM.
Ndio kwanza kumekucha ππππDom wanapendelewa sana kiukweli ...hii ni shule ya mfano Tanzania na East Africa yote(labda ukienda South Africa ndio unaweza kukuta level hizo) .Ujenzi wake toka "scratch" umesimamiwa na kufanywa na Jeshi. Eneo lilipojengwa(mpangilio),miundombinu,ubora na ukubwa wake ni zaidi ya Faculty ya Chuo Kikuu UDSM.