Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma Ina 5 Star hotel nyingi kushinda Mwanza 😁😁😁

Mwanza nzima ziko hoteli 2 tuu ikiwemo hilo gofu ambalo halifanyi kazi πŸ€ͺπŸ€ͺ
5 star hotel unazifahamu lakini, hebu tupatie majina ya hizo hotel tukusaidie kukuelimisha
 
Dodoma Ina 5 Star hotel nyingi kushinda Mwanza 😁😁😁

Mwanza nzima ziko hoteli 2 tuu ikiwemo hilo gofu ambalo halifanyi kazi πŸ€ͺπŸ€ͺ
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Si Bora ghofu kuliko story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…