Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

712cd23a3b50b57b8fa1ac5e5de7d3eb.jpg
4c8df3733fe267c03f7d32186b18a27f.jpg

Majirani zake na malaika kule ilemela nao wanajikuna panapowawasha. Moto ndo kwanza unalipuka kama umewekewa petrol.
 
Dodoma Ina 5 Star hotel nyingi kushinda Mwanza 😁😁😁

Mwanza nzima ziko hoteli 2 tuu ikiwemo hilo gofu ambalo halifanyi kazi 🤪🤪
5 star hotel unazifahamu lakini, hebu tupatie majina ya hizo hotel tukusaidie kukuelimisha
 
Back
Top Bottom