Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Subiri mjengewe na serikali, mnatamba kwa Hela za Kodi zetu wakati uhalisia nyie masikini. Miji mingine haipati favour hizo na Bado inawabutua
 
Buswelu, watu wanajenga kwa pesa zao na si kwa kutegemea mashirika ya kiserikali ya NHC, watumishi housing n.k
 
Wewe endelea kujifariji kwa vipicha vyako kilasiku ...sijaona mtandao wa barabara za lami kama Dodoma .
Nikuulize swali hiyo Serikali ndio imewajengeà wakazi wa Dom nyumba zao,malls zao,viwanda vyao 😂😂😂
Tulia kwanza nikushone
 
Wewe endelea kujifariji kwa vipicha vyako kilasiku ...sijaona mtandao wa barabara za lami kama Dodoma .
Nikuulize swali hiyo Serikali ndio imewajengeà wakazi wa Dom nyumba zao,malls zao,viwanda vyao 😂😂😂
Kaka acha utani kabisa! Buswelu ni sehemu watu binafsi wanajenga sana ila kwa vile mmekalili maisha ndo kinakufanya ubeze maendeleo hayo japo ukweli unajua!
 
Kaka acha utani kabisa! Buswelu ni sehemu watu binafsi wanajenga sana ila kwa vile mmekalili maisha ndo kinakufanya ubeze maendeleo hayo japo ukweli unajua!
Wala hatutumii nguvu sana kumwelimisha. Sehemu hot ni nyingi tu ajipange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…