Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Itabidi nikipata off siku za jumapili takuwa natembelea sehemu moja moja natafuta position ya kupiga picha natuma kule kwenye Mwanza city gallery ya laizerg.
mwenye access ya kuvipata afanya hivyo maana kuna watu wanatia hasira sana umu majukwaan
 
tatizo haijui mwamza uyo
 
Tatizo tuna upungufu wa picha itabidi niongee na mr drone camera japo na yeye kapotea sn.
ongea nae mkuu maana hawa mbweha watatusumbua sana umu majukwaan inatakiwa ifikie hatua tusifananishane tena yaan mkubwa ajulikane mkubwa na mdogo ajulikane mdogo
 
Ile kitu Dodoma anamfanyia Mwanza kwenye uzi huu si poa kabisa; Yaani katoto ka juzijuzi tu hapa kamemtandika mkubwa mpaka ametubu;

Maeneo aliyoongoza Mwanza mpaka sasa dhidi ya mpinzani wake;

1. Ukubwa wa jiji

2. Maisha nafuu/duni

3. Idadi kubwa ya watu

4. Viwanda

5. Slums

6. Maji

7. Bandari na meli

8. Hali ya hewa

9. Poor infrastructure I.e barabara, taa, stendi n.k

10. Umasikini

Maeneo aliyoongoza Dodoma dhidi ya mpinzani wake;

1.Jiji la kisasa.

2. Kasi ya ukuaji na utanukaji wa jiji.

3. Mpangilio (hapa inaeleweka mwanza ni jiji la zero planning)

4. Shopping malls& super markets (mwanza hakuna hata mini zaidi ya rockcity mall)

5. Barabara za lami (Zoo hapa imepigwa miles ndefu)

6. Estates (mwanza hakuna)

7. Idadi ya jumla ya majengo yote ya ghorofa juu ya ardhi kwa jiji zima (ukiunganisha majengo ya CBD na UDOM pekee Mwanza chali kifo cha mende bila kuigusa Mtumba,kisasa,maeneo ya Estates,CBE, makole, majengo ya idara mbalimbali za umma na binafsi yaliyopo njia ya Kikuyu avenue n.k)

8. Majengo ya ghorofa ndefu za kufikia ghorofa kumi (imedhihirika mwanza ni ndoto kuna ghorofa moja tu la flow 16 basi)

9. Mzunguko wa pesa dom nimkubwa pamoja na purchasing power.

10. Wakazi wengi wanakipato cha kati na cha juu.

11. Facilities za mikutano, kumbi kubwa kwa ajili ya dhifa na vikao vya ndani na vya kimataifa.

12. Makao makuu ya serikali na wizara zote. I.e ofisi za wizara, jeshi,bunge na ikulu.

13. Kuna high demand ya huduma, starehe na accommodation kutokana na kipato kizuri hivyo spending nikubwa na wafanyabiashara wananufaika zaidi kuliko mwanza.

14. Idadi ya Round about na maeneo bora ya bustani za kupumzikia mjini

15. Makao makuu ya madhehebu kadhaa kama anglikana na nyumbani kwa misikiti mikubwa zaidi Tanzania.

16. Nyumbani kwa chuo kikuu kikubwa zaidi Afrika ya mashariki-UDOM na Taasisi ya moyo- Benjamini Mkapa.

17. Stendi na Soko la kisasa.

Matarajio ya Mwanza katika hatua za ujenzi au utekelezaji wa miradi iliyo kwenye mpango wa matekelezo:

1. SGR

2. Meli

3. Daraja la busisi

4. Airport

5. Stendi za magari

6. Soko kuu

Matarajio ya Dodoma katika hatua za ujenzi au utekelezaji wa miradi iliyo katika mpango wa matekelezo:

1. SGR

2. Bandari kavu

3. Ujenzi wa mji wa serikali au magufuli city

4. Ujenzi wa barabara za dual carriages way za njia nne katika barabara kuu nne za kuunganisha jiji la Dodoma pamoja na mikoa inayoizunguka dodoma.

5. Ukamilishaji wa nyumba za kuishi 1000 katika mradi wa iyumbu na maeneo mengine kama kisasa n.k

6. Ujenzi wa international Airport

7. Ujenzi wa kiwanja kikubwa cha mpira cha kisasa

8. Ujenzi wa Arena

9. Ujenzi wa viwanda

10. Ujenzi wa BRT na commuter train

11. Ukamilishaji na ujenzi wa majengo mbalimbali ya maghorofa ambazo ni idara, taasisi, kumbi za mikutano na vitega uchumi kama vile mahoteli na malls pamoja na makazi ya watumishi mbalimbali wa mashirika ya umma na binafsi.

12. Ukamilishaji ujenzi wa ikulu

13. Ukamilishaji ujenzi wa kambi kuu ya JWTZ

14. Kuunganishwa na dar es salaam kwa njia 4

15. Mradi mkubwa wa Maji toka Ziwa Victoria.

Hivi jamani mpaka hapo bado kuna haja ya ku-battle, yaani unaanzaje kulilinganisha li-giant and super modern city na vijiji vikubwa kama Mwanza visivyo na CV yeyote wala future kubwa.
 
Tatizo tuna upungufu wa picha itabidi niongee na mr drone camera japo na yeye kapotea sn.
Hivi kama mna upungufu wa picha na sisi wa Dodoma city tusemeje? Hivi haujui hapa Tanzania kama kuna mji hauna picha kutokana na kutotiliwa maanani ni Dodoma ndiyo maana mpaka sasa mnamudu kujiliwaza hapa kuwa mnaizidi Dodoma.

Kiufupi picha zote mlizopost humu ndo mwanza yote hiyo wala hamna kajengo hata kamoja mlikoacha nawachora tu mnavyojishaua, zaidi ya hapo mtaanza kujiaibisha kwa kuleta vipicha vya malaika hotel na Bismarck rock hahaaaa! Mwanza wepesi sana ninyi mjipange sana dodoma siyo size yenu.
 
Ila ukiingia google ya wazungu mpangilio upo hivi
1.Dar
2.Mwanza
3.Zanzibar
4.Arusha
5.Tanga
6.Mbeya
7.sijaona Dodoma
Te! te! te! tee! Kweli mnaota ndoto za arinacha eti google ya wazungu, ngoja niwagutushe tu usingizini kuwa subirieni sensa ya SSH itawapa majibu nina uhakika kwa kariakoo ile ya Soko la majengo ambalo leo Makamu wa presidaa amelitembelea na kukomandi kampuni ya usafi ipugwe kazi (mojawapo ya kero niliyoigusia kwenye uzi wangu naona imefanyiwa kazi tiyari)

Sasa hivi movement ya watu ni kubwa sana CBD ya dodoma na kwa wale wanaopajua sasa hivi kuna baadhi ya mitaa misongamano ya magari na watu uanza kuchanganyia kuanzia mida ya saa tisa nina hakika baada ya hesabu za sensa ya watu na makazi, takwimu zitatuweka kwenye daraja letu la 3 bila ubishi
 
[emoji23][emoji23] wewe ni mwehu kabisa hata nashindwa tunabishania nini yani inanaanisha mwanza ina supermarkets chache kuliko dodoma! Seriously Yan et mna kumbi za starehe kuliko mwanza! Haya tueekee hapa picha ya mji wa dodoma tuone huo mji wa kisasa na uliopanuka unaousema, jaman watu wa Mwanza hebu tusibishane na hawa watu kwa maana nimegundua ni kupoteza muda, haya Dodoma ipo juu ya Mwanza umefurahi sasa?
 
Wala wanafanya hii battle siyo Wagogo ni Mwanza haters wengi siyo Wagogo Wala watu wa Dom. Ni watu wa mikoa fulani wengi meno yao Yana rangi

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2082665
View attachment 2082667

View attachment 2082669
Karibuni mza watani.

Nyumba kama hizi dodoma zinajengwa na serikali tena anajengewa Spika
Hizi Nyumba huwa naziona Mitaa ya Malaika Beach huwa nafanyia jogging njia hiyo. Mzee huwa nauma kidole tu Mzee baba, najiona fala sana watu wenzangu sijui wamenizidi Nini Mzee, ipo moja kwenye Kona ya new terminal la airport pale Ina parking ya magari juu ya Nyumba. Watu wanasifa sana duniani

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Pale wilaya wamefanya mambo makubwa japo ujenzi bado unaendelea natamani kwenye hizo keep left za buswelu wangeweka bustani nzuri kama pale samaki.
Haha. Roundabout Buswelu ziko mbili. Moja center ingine Halmashauri aka Wilayani. Buswelu Ina roundabout nyingi kuzidi miji mingi hapa Tz haha. Usisahau ingine Kisesa, Usagara, airport hizi nimetaja za nje ya mji.

Inshort Mwanza nje ya mji KM 20-30 nje Kuna Round about 6. Hii inaweza kushindana na DSM tu Dom Km 30 nje hakuna Round about. Huna Nara

Arusha KM 30 nje ni maprini kabisa huku njiapanda ya monduli, Kikatiti nk.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Mwanza wameijenga Wasukuma na Dodoma nayo kajenga Msukuma, tabia zilezile namna ya kufikiri ileile na maarifa ni yaleyale, sasa tofauti inatoka wapi?
 
Keep left kwa Mwanza ndio mahala pake sema nikutumie keep left za buswelu tu ndio zinapaswa ushindane nazo lkn sio za Mwanza, pili nimeona nabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Mwanza, na kama ungekuwa umefika usingeuliza swali la kijinga kama ili.
Ziko wapi? 🀣🀣
 
Mwanza wameijenga Wasukuma na Dodoma nayo kajenga Msukuma, tabia zilezile namna ya kufikiri ileile na maarifa ni yaleyale, sasa tofauti inatoka wapi?
Wasukuma wakaacha kujenga kwao wakaja kujenga Dom,very funny πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Dom sio zizi la ng'ombe.wala Makao ya washamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…