Kwa Juu kama godownSema design ya hii Bus Terminal ni π₯π₯π₯View attachment 3081947
Leta vitu vya msingi kama uimarishaji wa Huduma za Afya kama hivi ππN.k. N.k n.k
Ukileta wewe inatosha, jiamini.Leta vitu vya msingi kama uimarishaji wa Huduma za Afya kama hivi ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_SdNnrt8Dj/?igsh=MXFyeDZvMWx1aGdxeQ==
Dodoma ni jangwa πππππUkileta wewe inatosha, jiamini.
Dom imeshawazima Midomo na kukata ngebe zote ππππMwanza mtaipa sana Dodoma Shikamoo ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_TZ_yrMt9l/?igsh=M2FjaWczd2RqaGUw
View: https://youtu.be/N9vObcKKLA0?si=zktvq7qg3igKm82N
Unatia aibu kuleta kituko kama hicho kushindana na The Capital City Dodoma.
Akili yako iko milembe, Bado hawajakurudishia.Unatia aibu kuleta kituko kama hicho kushindana na The Capital City Dodoma.
Size ya Mwanza Kwa Sasa ni Mbeya ππ
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1827670825274593585?t=pVeB3FmCuvJZy6irrdveNg&s=19
Tatizo Mwanza tunafanyiwa hujuma kwenye kiwanja cha ndege sijui kwanini, jengo hawataki kujenga kubadiri status na kuwa wa kimataifa hawataki sijui wanataka nini?Dom imeshawazima Midomo na kukata ngebe zote ππππ
View: https://youtu.be/-LGtpePVjsI?si=DsT9gfKGXLY5yUiR
Wanajua dhahama itakayowapiga Kanda fulani.Tatizo Mwanza tunafanyiwa hujuma kwenye kiwanja cha ndege sijui kwanini, jengo hawataki kujenga kubadiri status na kuwa wa kimataifa hawataki sijui wanataka nini?
Unawabutua Kwa lipi labda? Mwanza level zake ni Mbeya ππView attachment 3083523
Yaani mbeya na Dodoma combined tunawabutua mbele nyuma
Level za Mwanza ni Mbeya,Dom is too heavy for you to carry ππAkili yako iko milembe, Bado hawajakurudishia.