Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Juu kama godownSema design ya hii Bus Terminal ni 💥💥💥View attachment 3081947
Leta vitu vya msingi kama uimarishaji wa Huduma za Afya kama hivi 👇👇N.k. N.k n.k
Leta vitu vya msingi kama uimarishaji wa Huduma za Afya kama hivi 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_SdNnrt8Dj/?igsh=MXFyeDZvMWx1aGdxeQ==
Dodoma ni jangwa 😆😆😆👇👇Ukileta wewe inatosha, jiamini.
Mwanza mtaipa sana Dodoma Shikamoo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_TZ_yrMt9l/?igsh=M2FjaWczd2RqaGUw
View: https://youtu.be/N9vObcKKLA0?si=zktvq7qg3igKm82N
Unatia aibu kuleta kituko kama hicho kushindana na The Capital City Dodoma.
Size ya Mwanza Kwa Sasa ni Mbeya 👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1827670825274593585?t=pVeB3FmCuvJZy6irrdveNg&s=19
Dom imeshawazima Midomo na kukata ngebe zote 😂😂👇👇
View: https://youtu.be/-LGtpePVjsI?si=DsT9gfKGXLY5yUiR
Wanajua dhahama itakayowapiga Kanda fulani.Tatizo Mwanza tunafanyiwa hujuma kwenye kiwanja cha ndege sijui kwanini, jengo hawataki kujenga kubadiri status na kuwa wa kimataifa hawataki sijui wanataka nini?
Unawabutua Kwa lipi labda? Mwanza level zake ni Mbeya 👇👇View attachment 3083523
Yaani mbeya na Dodoma combined tunawabutua mbele nyuma
Level za Mwanza ni Mbeya,Dom is too heavy for you to carry 👇👇Akili yako iko milembe, Bado hawajakurudishia.