Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

unachekesha sana aisee...eti hizo graphics ni picha za Mwanza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.Naona umeipumzisha ID yako ya sikuzote umekuja na ID nyingine.....joined last week πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Chukua hiyo mwanza dude kubwa
 
Attachments

  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM-860x574(1).png
    599.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM-1-615x410.png
    460.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.54-PM-615x410.png
    339.9 KB · Views: 3
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.49-PM-615x410.png
    323.9 KB · Views: 3
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.42-PM-615x410.png
    339 KB · Views: 3
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.48-PM-615x410.png
    457.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM-860x574.png
    599.7 KB · Views: 4
Hizi hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡
Kila Jiji slums zipo Nairobi ndo Jiji lenye slum nyingi zaidi afrika licha ya kuwa pia ndo Jiji la kitajiri east Africa huna jipya wenye akili ndo waongeee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Title ya thread ni Dom City vs Mwanza City sio Nairobi πŸ˜€πŸ˜€.Vp Dom kuna slums kama hizo za Mwanza..?. Tumia ID yako ya sikuzote naona kilasiku unakuja na ID mpyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Title ya thread ni Dom City vs Mwanza City sio Nairobi πŸ˜€πŸ˜€.Vp Dom kuna slums kama hizo za Mwanza..?. Tumia ID yako ya sikuzote naona kilasiku unakuja na ID mpyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Koma kulinganisha Hicho Kijiji Cha jangwani na the city
Δ°conic infrastructures you will never find in Dodoma desert
 
Toa uchafu wako hapa, mara nyumba za tope kwenu mbeya kuko hovyo sana ndiyo maana unajifariji na Dodoma na ishakufanya kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Unaisujudia na kuiabudu kama jehu. Wenge la makao makuu na project za kiserikali na taasisi zake zinakutia wenge huangalii kipato Cha raia mmoja mmoja kipoje kwa wanadodoma.
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Hii nyundo ya Mbeya ulipiga tuu lazima Mwanza ijambe πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DAEoOjMNOrZ/?igsh=bXQxejNnbHBsNHo2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…