Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Umemaliza kila kitu jombaa
 
Soma tittle ya thread wewe MEMKWA...thread inahusu Dom CBD vs Mwanza CBD sio Dom vs Kigali au Dom vs Abuja. Dodoma ni mojawapo ya majiji machache Africa ambayo yamepimwa na kupangiliwa vizuri mipangomiji kwa zaidi ya asilimia 90.
Ukija kwenye mtandao mpana wa barabara za lami Dom wameizidi Mwanza kwa mbali sana na kilasiku wanazidi kupendelewa kuongezewa miradi mipya ya ujenzi wa barabara +miundombinu ya kisasa.
Mwanza inachozidi Dom ni populationπŸ˜€πŸ˜€ tu hakuna kingine huo ndio ukweli mchungu.
 

Kuna mtaa wowote WA kufika hapa
 
Mwanza bado ni firee ni jiji aisee Dodoma tupa kule
 
Mwanza ndio dampo kuu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo umechukua kieneo kidogo ndo ukakionesha acha uchizi mwanza tuna maeneo mengi sana ya kishua kuliko hata hiyo Dodoma
Maeneo ya koshua huko Mwanza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

Mwanza ndio Makao Makuu ya mabanda Tanzania Kuna Hadi Slum tourism 😁😁😁😁😁
 
Acha ushamba unachukua picha Moja iyo iyo unaipost mara mia mia tuna sehemu za ziwa zenye upepo tulivu kuliko hapo ukameni umekomaa na Mita ya Igogo nimekwambia mwanza ndo jiji la pili kwa mapato na fursa baada ya Dar na ndo jiji la pili kwa kuwa na domestic air flights nyingi baada ya Dar Sasa kama hapo ukameni Kuna mzunguko wa kibiashara iweje hampo kwenye ramani za usafirishaji abiria na mizigo ,,,watu wengi wanakimbilia mwanza kujitafuta kimaisha pia mwanza IPO karibu na nchi nyingine za maziwa makuu hiyo ni advantage kubwa sana kiuchumi tuna daraja refu zaidi Afrika ya kati tuna stendi mbili za mabasi Kali tuna meli kubwa kupita meli zote katika maziwa makuu tuna stesheni mbili za sgr πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Kuna upanuzi wa bandari ya mwanza south na Ile ya kamanga Kuna mipango wa njia nane barabara ya busisi Hadi mjini pia jiji linazidi kukua na kuongezeka ushihidi ni population ya mwanza kuizidi ya Dodoma majengo ya sekta binafsi yapo yanajengwa mengi sana pia mwanza ndo jiji lenye nyumba nyingi zaidi zinazoendelea kujengwa kiasi cha kulingana na Dar laki nane mwanza na Dar laki nane rejea sensa ya mwaka 2022 pia tuna upanuzi wa airport na ujenzi wa airport lounge Kali sana ikiwemo ujenzi wa hotel Kali ya nyota Tano bado tuna Mita mingi ya kishua kuliko hapo ukame town najua utafuta pa kakimbia shikilia Uzi ili nikupe uso na huu ndo ukweli mchungu ambao vilaza kama nyinyi hampendi kuusikia πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nacheka kimapoooozi kabisa
 
Bro sio poa kama humuheshimu kiongozi wako angalau mpotezee, kwanini unamkosea heshima kwa kiwango hiki aliyekuwa Rais wako na mwenyekiti wa chama chako, kwa kifupi tu huyo ndiye aliehamishia makao makuu Dodoma rasmi na leo unapata nguvu walau ya battle na miji kama Mwanza na Arusha, katika uongozi wake four ways City center mpaka Aiport Mwanza ilijengwa, Kigongo Busisi Bridge ilianza ujenzi, Soko kuu, Stend, n.k, Nikweli Mama anapambana na jitihada zake zinaonekana tatizo lako unapenda kumbeza magufuli
 
Mji Lazima uwe na Variety na watu wa maeneo kama hayo wanamchango wao kwenye jamii, huwezi kuwa na Ushuani mwanzo mwisho alafu kama ulikua hujui hao ndio waleta hekaheka jijini, wanamikato yao na life Lao fulani hivi wazee wa Vibe tuishi humo
 
Jikite kwenye hoja na hoja yenyewe ni kwamba Samia amewaletea maendeleo Makubwa watu wa Mwanza kuliko yule Shujaa wenu.
 
Njia 8 kwenye mabanda ya slums huko si ndio? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜†

Bado hujasema Hadi useme πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/dailynewstz/status/1843210062178951493?t=pkl_OweoWr7gt_U5HKxVSQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…