Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unazungumza ukiwa kama nani we pimbi Nini Mwanza kwa eneo la CBD barabara ziko vizuri sana labda Kuna maeneo machache ya marekebisho tu miji mingi ya Tanzania ina changamoto za barabara na makazi holela hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya mipango miji hawana exposure..Dodoma Haina maajabu sana ukilinganisha na other purposely established Capitals in Africa like Abuja in Nigeria wako ahead us japo walikuja kujifunza kwetu kwa mtu kama wewe usie na exposure unaona Dodoma is dop Fanya kutembea Toka huko mkungelambito uende hata kwa majirani zetu Kigali au Nairobi au Kisumu tu dahhh bado tuna safari sana na Kuna miji kutokana na jiografia yake kama mwanza serikali ikijikita kuiboresha tutarajie utalii kuongezeka sana kwa sababu mwanza ina visiwa karibu na jiji ingekuwa nchi zingine tungeshuhudia zikijengwa resorts za kutisha sana nchi hii watu wenye dhamana wengi sio wabunifu
Umemaliza kila kitu jombaa
 
Soma tittle ya thread wewe MEMKWA...thread inahusu Dom CBD vs Mwanza CBD sio Dom vs Kigali au Dom vs Abuja. Dodoma ni mojawapo ya majiji machache Africa ambayo yamepimwa na kupangiliwa vizuri mipangomiji kwa zaidi ya asilimia 90.
Ukija kwenye mtandao mpana wa barabara za lami Dom wameizidi Mwanza kwa mbali sana na kilasiku wanazidi kupendelewa kuongezewa miradi mipya ya ujenzi wa barabara +miundombinu ya kisasa.
Mwanza inachozidi Dom ni population😀😀 tu hakuna kingine huo ndio ukweli mchungu.
 
IMG-20240930-WA0054.jpg

Kuna mtaa wowote WA kufika hapa
 
Soma tittle ya thread wewe MEMKWA...thread inahusu Dom CBD vs Mwanza CBD sio Dom vs Kigali au Dom vs Abuja. Dodoma ni mojawapo ya majiji machache Africa ambayo yamepimwa na kupangiliwa vizuri mipangomiji kwa zaidi ya asilimia 90.
Ukija kwenye mtandao mpana wa barabara za lami Dom wameizidi Mwanza kwa mbali sana na kilasiku wanazidi kupendelewa kuongezewa miradi mipya ya ujenzi wa barabara +miundombinu ya kisasa.
Mwanza inachozidi Dom ni population😀😀 tu hakuna kingine huo ndio ukweli mchungu.
Mwanza bado ni firee ni jiji aisee Dodoma tupa kule
 
Makazi duni yapo Kila mahali hapa ndo unathibitisha ujinga wako hata hivyo ukitoa Dar mwanza ndo ina maeneo mengi ya kishua Kuna eneo panaitwa kapripointi daaahhh ogopa sana bado ibanda juu kule mtaa mmoja wa mwanza=na Dodoma nzima😆😆😆😀😀😀
Mwanza ndio dampo kuu 😂😂
 
Kwa hiyo umechukua kieneo kidogo ndo ukakionesha acha uchizi mwanza tuna maeneo mengi sana ya kishua kuliko hata hiyo Dodoma
Maeneo ya koshua huko Mwanza 😆😆😆😆👇👇
dont_complain_travel_mwanza_06.png
file.jpg
residential-area-of-dar-es-salaam-tanzania-east-africa-E0DRF2.jpg
dont_complain_travel_mwanza_03.png
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.54-PM-1024x683.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM-1.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.52-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.49-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.51-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.47-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.48-PM.jpeg
e4a664_bbd1ff8ae4af4da68adb26d8489fb7dc~mv2.jpg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.42-PM.jpeg
slum tourism mwanza 1.jpg

Mwanza ndio Makao Makuu ya mabanda Tanzania Kuna Hadi Slum tourism 😁😁😁😁😁
 
Acha ushamba unachukua picha Moja iyo iyo unaipost mara mia mia tuna sehemu za ziwa zenye upepo tulivu kuliko hapo ukameni umekomaa na Mita ya Igogo nimekwambia mwanza ndo jiji la pili kwa mapato na fursa baada ya Dar na ndo jiji la pili kwa kuwa na domestic air flights nyingi baada ya Dar Sasa kama hapo ukameni Kuna mzunguko wa kibiashara iweje hampo kwenye ramani za usafirishaji abiria na mizigo ,,,watu wengi wanakimbilia mwanza kujitafuta kimaisha pia mwanza IPO karibu na nchi nyingine za maziwa makuu hiyo ni advantage kubwa sana kiuchumi tuna daraja refu zaidi Afrika ya kati tuna stendi mbili za mabasi Kali tuna meli kubwa kupita meli zote katika maziwa makuu tuna stesheni mbili za sgr 😆😆😆😆😆😆Kuna upanuzi wa bandari ya mwanza south na Ile ya kamanga Kuna mipango wa njia nane barabara ya busisi Hadi mjini pia jiji linazidi kukua na kuongezeka ushihidi ni population ya mwanza kuizidi ya Dodoma majengo ya sekta binafsi yapo yanajengwa mengi sana pia mwanza ndo jiji lenye nyumba nyingi zaidi zinazoendelea kujengwa kiasi cha kulingana na Dar laki nane mwanza na Dar laki nane rejea sensa ya mwaka 2022 pia tuna upanuzi wa airport na ujenzi wa airport lounge Kali sana ikiwemo ujenzi wa hotel Kali ya nyota Tano bado tuna Mita mingi ya kishua kuliko hapo ukame town najua utafuta pa kakimbia shikilia Uzi ili nikupe uso na huu ndo ukweli mchungu ambao vilaza kama nyinyi hampendi kuusikia 😁😁😁😁😁😆😆😀😀😀nacheka kimapoooozi kabisa
 
Ukweli ni Kwamba Samia amefanya na anafanya miradi Mingi sana huko Mwanza kuliko yule Shujaa wenu mpigadomo 😂😂😂

Wasukuma Hilo likubalini tuu,Mbeleko ya Serikali ya Samia ni kubwa sana huko 👇👇

View: https://youtu.be/Aq7AGgVXaxQ?si=XpY4gxzOx_6Oy1s2

View: https://youtu.be/E0DcZSEwtic?si=d47P7W13kkIDgzge

Bro sio poa kama humuheshimu kiongozi wako angalau mpotezee, kwanini unamkosea heshima kwa kiwango hiki aliyekuwa Rais wako na mwenyekiti wa chama chako, kwa kifupi tu huyo ndiye aliehamishia makao makuu Dodoma rasmi na leo unapata nguvu walau ya battle na miji kama Mwanza na Arusha, katika uongozi wake four ways City center mpaka Aiport Mwanza ilijengwa, Kigongo Busisi Bridge ilianza ujenzi, Soko kuu, Stend, n.k, Nikweli Mama anapambana na jitihada zake zinaonekana tatizo lako unapenda kumbeza magufuli
 
Mji Lazima uwe na Variety na watu wa maeneo kama hayo wanamchango wao kwenye jamii, huwezi kuwa na Ushuani mwanzo mwisho alafu kama ulikua hujui hao ndio waleta hekaheka jijini, wanamikato yao na life Lao fulani hivi wazee wa Vibe tuishi humo
 
Bro sio poa kama humuheshimu kiongozi wako angalau mpotezee, kwanini unamkosea heshima kwa kiwango hiki aliyekuwa Rais wako na mwenyekiti wa chama chako, kwa kifupi tu huyo ndiye aliehamishia makao makuu Dodoma rasmi na leo unapata nguvu walau ya battle na miji kama Mwanza na Arusha, katika uongozi wake four ways City center mpaka Aiport Mwanza ilijengwa, Kigongo Busisi Bridge ilianza ujenzi, Soko kuu, Stend, n.k, Nikweli Mama anapambana na jitihada zake zinaonekana tatizo lako unapenda kumbeza magufuli
Jikite kwenye hoja na hoja yenyewe ni kwamba Samia amewaletea maendeleo Makubwa watu wa Mwanza kuliko yule Shujaa wenu.
 
Acha ushamba unachukua picha Moja iyo iyo unaipost mara mia mia tuna sehemu za ziwa zenye upepo tulivu kuliko hapo ukameni umekomaa na Mita ya Igogo nimekwambia mwanza ndo jiji la pili kwa mapato na fursa baada ya Dar na ndo jiji la pili kwa kuwa na domestic air flights nyingi baada ya Dar Sasa kama hapo ukameni Kuna mzunguko wa kibiashara iweje hampo kwenye ramani za usafirishaji abiria na mizigo ,,,watu wengi wanakimbilia mwanza kujitafuta kimaisha pia mwanza IPO karibu na nchi nyingine za maziwa makuu hiyo ni advantage kubwa sana kiuchumi tuna daraja refu zaidi Afrika ya kati tuna stendi mbili za mabasi Kali tuna meli kubwa kupita meli zote katika maziwa makuu tuna stesheni mbili za sgr 😆😆😆😆😆😆Kuna upanuzi wa bandari ya mwanza south na Ile ya kamanga Kuna mipango wa njia nane barabara ya busisi Hadi mjini pia jiji linazidi kukua na kuongezeka ushihidi ni population ya mwanza kuizidi ya Dodoma majengo ya sekta binafsi yapo yanajengwa mengi sana pia mwanza ndo jiji lenye nyumba nyingi zaidi zinazoendelea kujengwa kiasi cha kulingana na Dar laki nane mwanza na Dar laki nane rejea sensa ya mwaka 2022 pia tuna upanuzi wa airport na ujenzi wa airport lounge Kali sana ikiwemo ujenzi wa hotel Kali ya nyota Tano bado tuna Mita mingi ya kishua kuliko hapo ukame town najua utafuta pa kakimbia shikilia Uzi ili nikupe uso na huu ndo ukweli mchungu ambao vilaza kama nyinyi hampendi kuusikia 😁😁😁😁😁😆😆😀😀😀nacheka kimapoooozi kabisa
Njia 8 kwenye mabanda ya slums huko si ndio? 😆😆😆😁😆

Bado hujasema Hadi useme 👇👇

View: https://x.com/dailynewstz/status/1843210062178951493?t=pkl_OweoWr7gt_U5HKxVSQ&s=19
 
Back
Top Bottom