Bro sio poa kama humuheshimu kiongozi wako angalau mpotezee, kwanini unamkosea heshima kwa kiwango hiki aliyekuwa Rais wako na mwenyekiti wa chama chako, kwa kifupi tu huyo ndiye aliehamishia makao makuu Dodoma rasmi na leo unapata nguvu walau ya battle na miji kama Mwanza na Arusha, katika uongozi wake four ways City center mpaka Aiport Mwanza ilijengwa, Kigongo Busisi Bridge ilianza ujenzi, Soko kuu, Stend, n.k, Nikweli Mama anapambana na jitihada zake zinaonekana tatizo lako unapenda kumbeza magufuli