Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Watu ambao hawajaenda shule "illiterates" ndio huwa wanajibu mijadala picha kwa picha,video kwa video,ushabiki maandazi kwa ushabiki maandazi😀😀. Wasomi huwa wanajibu mijadala hoja kwa hoja,facts kwa facts,details kwa details,references kwa references ndiomana kule chuo kikuu tunasoma vitabu hatusomi album za picha😂😂.
Hatukatai picha zinaweza kutumika kama nyongeza hata mimi huwa napost marachache picha humu shidayenu nyinyi mnataka kugeuza hii thread kama iwe studio ya picha baada ya kuona mmeshindwa hoja,facts na vielelezo vingine.
Leta reference basi ili ukapuku ukutoke
 
Leta reference basi ili ukapuku ukutoke
Unataka references zipi kuprove kuwa Dom ipo juu sana kuzidi Mwanza👇👇
-Master Plan of the city
-International Offices
-Current View of the city
-Ongoing Projects
-Future Projects proposed
-Transport system (Private and Public)
-Markets and Shopping malls
-Hotels
-Education centers
-Health centers

Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population basi😂😂😂😂
 
Current view of the city unaitolea vipi ushahidi kwa sisi tusioishi Tanzania. Tukikuambia we mjinga unabwabwaja. Transport system how, hotels how? Ongoing projects how don't be stupid that much. Unatumia vigezo vya kijinga sawa na akili yako ilivyo
 
ushahidi kwa sisi tusioishi Tanzania
Hii thread sio ya ushabiki maandazi inataka mtu ambaye amefika kwenye majiji yote mawili na kwa observation yake kufanya comparison ya vigezo tajwa kama ninavyofanya mimi. Wewe kama hujawahi kukanyaga Dom unachangiaje sasa hii thread zaidi ya kuleta "assumptions".
By the way Mwanza 😂😂👇👇

Leta reference basi ili ukapuku ukutoke
Hii thread kama haupo smart+ updated kichwani kwa hoja ,clear facts na details utaaibika tu😂😂.
Wewe nenda kwenye thread yako uliyoanzisha kule ambayo huwa mnajifariji kwa picha za kuedit zisizo na uhalisia👇👇

Unataka references zipi kuprove kuwa Dom ipo juu sana kuzidi Mwanza👇👇
-Master Plan of the city
-International Offices
-Current View of the city
-Ongoing Projects
-Future Projects proposed
-Transport system (Private and Public)
-Markets and Shopping malls
-Hotels
-Education centers
-Health centers

Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population basi😂😂😂😂
Stupid ni Moroni anayeleta porojo tüpü na kuziita facts..hiv unajua maana ya fact kweli..
Toka uanze kuleta empty essay zako hatujaona hata mara moja umeleta figure , illustration,au critical évidence ya madai Yako ya vijiweni ..
 
Hii thread kama haupo smart+ updated kichwani kwa hoja ,clear facts na details utaaibika tu😂😂.
Wewe nenda kwenye thread yako uliyoanzisha kule ambayo huwa mnajifariji kwa picha za kuedit zisizo na uhalisia👇👇

Inahusiana Nini na reference unazotakiwa kutuonyesha kuwa Dom iko juu ya mwanza?
 
Hii thread kama haupo smart+ updated kichwani kwa hoja ,clear facts na details utaaibika tu😂😂.
Wewe nenda kwenye thread yako uliyoanzisha kule ambayo huwa mnajifariji kwa picha za kuedit zisizo na uhalisia👇👇

We mnduku kabisa hizo ndo fact we boya, ***** sikujibu Tena tunahangaika na asiyejitambua pengine balehe inamsumbua. Komaza fuvu jomba akili utakutana nayo uzeeni
 
Hii ni kawaida kwa watu walioishia darasa la saba... badala ya kujibu hoja za mtoa hoja wao huishia kumshambulia mtoa hoja kwa matusi,michambo,mipasho na porojo 😂😂
 
Ndo uache kujitanua mbawa wakati huna akili na huwezi kutetea unachokileta humu.
 
Unataka references zipi kuprove kuwa Dom ipo juu sana kuzidi Mwanza👇👇
-Master Plan of the city
-International Offices
-Current View of the city
-Ongoing Projects
-Future Projects proposed
-Transport system (Private and Public)
-Markets and Shopping malls
-Hotels
-Education centers
-Health centers

Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population basi😂😂😂😂
Hizi ndio evedances?, leta evidence ya current view of Dodoma city, Pia market and Shopping malls, Hotels na Heath centers, Halafu master plann huwa unafikiri ipo Dodoma tu mzee sio, ukishindwa kuleta vielelezo hapa ndio nita conclude wewe ni ndina
 
Unataka evidences zipi kuprove
-data
-observation
-facts
-graphs
-diagrams au
-literature review
Naona unajitoa ufahamu tu hivi kwamfano👇👇
👉👉Kuna mtu yeyote asiyejua kuwa Dom wamedesign na kutekeleza among the best master plan in Africa
👉👉Kuna mtu asiyejua Dom wamependelewa mtandao mpana wa barabara za lami+ ubora wa miundombinu kuliko mji wowote Tanzania.
👉👉Kuna mtu asiyejua Dom wameizidi pakubwa Mwanza kwenye ubora wa huduma za kijamii mfano Afya,Elimu,Usalama
👉👉Kuna mtu asiyejua uwepo wa taasisi nyingi na balozi za kimataifa Dom
👉👉Kuna mtu asiyejua ujenzi mkubwa wa "on going" na future development projects zinazoendelea Dom.

Narudia tena Mwanza kitupekee wanachozidi Dom ni population tu.Vigezo vingine hawafiki hata robo ya ubora wa Dom huo ndio ukweli mchungu.
 
Leta idadi ya masoko ya kisasa na hizo shopping malls tuone
 
Hizi taarabu zako tumeshazichoka, ndio maana unaambiwa wewe ni hopeless,
 
Leta idadi ya masoko ya kisasa na hizo shopping malls tuone
Kwamba huyajui masoko ya kisasa na ya mfano wa pekee kama Soko la Kisasa Ndugai au Soko la Kisasa Machinga Complex ambalo halmashauri za miji karibia zote walienda Dom kujifunza
Shopping Malls👇
-City Mall Mtendeni
-GSM city mall Kisasa
-Safina Shopping Mall
-Business Bay -Medeli
-Shoppers Plaza
-Njedengwa Mall(soon itakamalika
 
Unataka evidences zipi kuprove
-data
-observation
-facts
-graphs
-diagrams au
-literature review
Naona unajitoa ufahamu tu hivi kwamfano👇👇
👉👉Kuna mtu yeyote asiyejua kuwa Dom wamedesign na kutekeleza among the best master plan in Africa
👉👉Kuna mtu asiyejua Dom wamependelewa mtandao mpana wa barabara za lami+ ubora wa miundombinu kuliko mji wowote Tanzania.
👉👉Kuna mtu asiyejua Dom wameizidi pakubwa Mwanza kwenye ubora wa huduma za kijamii mfano Afya,Elimu,Usalama
👉👉Kuna mtu asiyejua uwepo wa taasisi nyingi na balozi za kimataifa Dom
👉👉Kuna mtu asiyejua ujenzi mkubwa wa "on going" na future development projects zinazoendelea Dom.

Narudia tena Mwanza kitupekee wanachozidi Dom ni population tu.Vigezo vingine hawafiki hata robo ya ubora wa Dom huo ndio ukweli mchungu.
We mbuzi wa supu kabisa empty set, hayo yote yatolee ushahidi hapa, huwezi kuthibitisha unachokileta humu you have no right to speak, usiwe kichwa ngumu kubali kufunzwa na walimwengu we juha.
 
Back
Top Bottom