Watu ambao hawajaenda shule "illiterates" ndio huwa wanajibu mijadala picha kwa picha,video kwa video,ushabiki maandazi kwa ushabiki maandazi😀😀. Wasomi huwa wanajibu mijadala hoja kwa hoja,facts kwa facts,details kwa details,references kwa references ndiomana kule chuo kikuu tunasoma vitabu hatusomi album za picha😂😂.
Hatukatai picha zinaweza kutumika kama nyongeza hata mimi huwa napost marachache picha humu shidayenu nyinyi mnataka kugeuza hii thread kama iwe studio ya picha baada ya kuona mmeshindwa hoja,facts na vielelezo vingine.