Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Leta reference basi ili ukapuku ukutoke
 
Leta reference basi ili ukapuku ukutoke
Unataka references zipi kuprove kuwa Dom ipo juu sana kuzidi Mwanza๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-Master Plan of the city
-International Offices
-Current View of the city
-Ongoing Projects
-Future Projects proposed
-Transport system (Private and Public)
-Markets and Shopping malls
-Hotels
-Education centers
-Health centers

Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population basi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Current view of the city unaitolea vipi ushahidi kwa sisi tusioishi Tanzania. Tukikuambia we mjinga unabwabwaja. Transport system how, hotels how? Ongoing projects how don't be stupid that much. Unatumia vigezo vya kijinga sawa na akili yako ilivyo
 
ushahidi kwa sisi tusioishi Tanzania
Hii thread sio ya ushabiki maandazi inataka mtu ambaye amefika kwenye majiji yote mawili na kwa observation yake kufanya comparison ya vigezo tajwa kama ninavyofanya mimi. Wewe kama hujawahi kukanyaga Dom unachangiaje sasa hii thread zaidi ya kuleta "assumptions".
By the way Mwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Leta reference basi ili ukapuku ukutoke
Hii thread kama haupo smart+ updated kichwani kwa hoja ,clear facts na details utaaibika tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Wewe nenda kwenye thread yako uliyoanzisha kule ambayo huwa mnajifariji kwa picha za kuedit zisizo na uhalisia๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Stupid ni Moroni anayeleta porojo tรผpรผ na kuziita facts..hiv unajua maana ya fact kweli..
Toka uanze kuleta empty essay zako hatujaona hata mara moja umeleta figure , illustration,au critical รฉvidence ya madai Yako ya vijiweni ..
 
Inahusiana Nini na reference unazotakiwa kutuonyesha kuwa Dom iko juu ya mwanza?
 
We mnduku kabisa hizo ndo fact we boya, ***** sikujibu Tena tunahangaika na asiyejitambua pengine balehe inamsumbua. Komaza fuvu jomba akili utakutana nayo uzeeni
 
We mnduku kabisa hizo ndo fact we boya, ***** sikujibu Tena tunahangaika na asiyejitambua pengine balehe inamsumbua. Komaza fuvu jomba akili utakutana nayo uzeeni
Hii ni kawaida kwa watu walioishia darasa la saba... badala ya kujibu hoja za mtoa hoja wao huishia kumshambulia mtoa hoja kwa matusi,michambo,mipasho na porojo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii ni kawaida kwa watu walioishia darasa la saba... badala ya kujibu hoja za mtoa hoja wao huishia kumshambulia mtoa hoja kwa matusi,michambo,mipasho na porojo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndo uache kujitanua mbawa wakati huna akili na huwezi kutetea unachokileta humu.
 
Hizi ndio evedances?, leta evidence ya current view of Dodoma city, Pia market and Shopping malls, Hotels na Heath centers, Halafu master plann huwa unafikiri ipo Dodoma tu mzee sio, ukishindwa kuleta vielelezo hapa ndio nita conclude wewe ni ndina
 
Hizi ndio evedances?, leta evidence ya current view of Dodoma city, Pia market and Shopping malls, Hotels na Heath centers, Halafu master plann huwa unafikiri ipo Dodoma tu mzee sio, ukishindwa kuleta vielelezo hapa ndio nita conclude wewe ni ndina
Unataka evidences zipi kuprove
-data
-observation
-facts
-graphs
-diagrams au
-literature review
Naona unajitoa ufahamu tu hivi kwamfano๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kuna mtu yeyote asiyejua kuwa Dom wamedesign na kutekeleza among the best master plan in Africa
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kuna mtu asiyejua Dom wamependelewa mtandao mpana wa barabara za lami+ ubora wa miundombinu kuliko mji wowote Tanzania.
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kuna mtu asiyejua Dom wameizidi pakubwa Mwanza kwenye ubora wa huduma za kijamii mfano Afya,Elimu,Usalama
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kuna mtu asiyejua uwepo wa taasisi nyingi na balozi za kimataifa Dom
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kuna mtu asiyejua ujenzi mkubwa wa "on going" na future development projects zinazoendelea Dom.

Narudia tena Mwanza kitupekee wanachozidi Dom ni population tu.Vigezo vingine hawafiki hata robo ya ubora wa Dom huo ndio ukweli mchungu.
 
Leta idadi ya masoko ya kisasa na hizo shopping malls tuone
 
Hizi taarabu zako tumeshazichoka, ndio maana unaambiwa wewe ni hopeless,
 
Leta idadi ya masoko ya kisasa na hizo shopping malls tuone
Kwamba huyajui masoko ya kisasa na ya mfano wa pekee kama Soko la Kisasa Ndugai au Soko la Kisasa Machinga Complex ambalo halmashauri za miji karibia zote walienda Dom kujifunza
Shopping Malls๐Ÿ‘‡
-City Mall Mtendeni
-GSM city mall Kisasa
-Safina Shopping Mall
-Business Bay -Medeli
-Shoppers Plaza
-Njedengwa Mall(soon itakamalika
 
We mbuzi wa supu kabisa empty set, hayo yote yatolee ushahidi hapa, huwezi kuthibitisha unachokileta humu you have no right to speak, usiwe kichwa ngumu kubali kufunzwa na walimwengu we juha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ