Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kichwa Cha panzi, reference zako ni thread za jamii forum,
πŸ˜‚πŸ˜‚Kwahiyo kwako Jamiiforums sio source ya references+ information ....mbona ulijianzishia hii threadπŸ‘‡πŸ‘‡

 
Huna hoja bhana.
 
Uingereza kufungua ubalozi Dom ndo kunaifanya Dom kuizidi Mwanza, una wenge dogo.


Kivipi uwepo wa ubalozi Dom umeipiku Mwanza?.
Dom ni Jiji la Kimataifa sio sawa na hicho Kijiji Cha wavuvi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanza nyingine sio hii ninayoijua bro mwanza ni jiji linalokuwa kwa Kasi sana
Kasi ipi hiyo wakati ongezeko la watu limepungua na badala yake Kasi imehamia Dom?

Hujui hata figure unategemea stori za vijiweni ndio maana unatoa Boko
 
Acha ushamba wa kuleta picha Moja mohay,leta view ya mtaa mzima.

By the way unakujua medeli kwanza? Naona umechagua huko nzuginininajipoga kifua πŸ˜†πŸ˜†
 
Tofautisha Dodoma CC vs Dodoma Region
πŸ˜‚πŸ˜‚Huyo jamaa na wenzake hawana akili ndiomana huwa wanaleta takwimu za Mwanza RC(yenye halmashauri 8) wanalazimisha ziwe za Mwanza CC πŸ˜‚πŸ˜‚.Yaani wote hawajui tofauti ya RC na CC- hii ni Civics ya form twoπŸ˜‚πŸ˜‚
Kilasiku unakuta wanapost picha hizohizo na wanaopost picha hizohizo ni walewale πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jengo la Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma sasa lipo active tayari. Dom ni habari nyingine kwa MwanzaπŸ‘‡πŸ‘‡

 
Dom HQ

-Outer Ring road
-Inner Ring road

Both are dual carriage way.

Mwanza is Slum will keep on dreaming
Dom wanapendelewa sana aisee...tangu tupate uhuru hakuna mji umewahi kujengewa dual carriage way.Mwanza wao bado wanapambana na changamoto ya barabara mpaka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dom wanapendelewa sana aisee...tangu tupate uhuru hakuna mji umewahi kujengewa dual carriage way.Mwanza wao bado wanapambana na changamoto ya barabara mpaka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dom bila JPM mngeendelea kuyaona maghorofa kwenye kideo
 
Dom wanapendelewa sana aisee...tangu tupate uhuru hakuna mji umewahi kujengewa dual carriage way.Mwanza wao bado wanapambana na changamoto ya barabara mpaka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dom Ina jam Gani hata hivyo. Hizo Barabara ni faida kiserikali siyo nyinyi wamiliki maguta. Ndo maana zinajengwa huko porini target yake siyo nyinyi.
 
Dom bila JPM mngeendelea kuyaona maghorofa kwenye kideo

-JPM ndio alijenga Udom..!!?
-JPM ndio alianzisha CDA..!?
- JPM ndio alijenga Bunge..!!?
-JPM ndio alijenga TAMISEMI..!?
-JPM ndio alijenga Benjamin Mkapa Hospital ..!!?

Rudi shule
 
-JPM ndio alijenga Udom..!!?
-JPM ndio alianzisha CDA..!?
- JPM ndio alijenga Bunge..!!?
-JPM ndio alijenga TAMISEMI..!?
-JPM ndio alijenga Benjamin Mkapa Hospital ..!!?

Rudi shule
Ring roads, airport, magufuli city, nyumba za matasisi ya serikali, makao makuu ya baadhi ya taasisi za kiserikali, uwanja wa mpira ambao nao unayeyuka kinywani n.k ni matokeo ya Mzee baba. Bunge lilikuwepo Toka muda Dodoma haikuwa na value yoyote. Kama huelewi usibishane hivyo hovyo. Kuna aliyejenga TAMISEMI mbona unakuwa fala mdogo wangu??. Nimekufuatilia jomba wewe ni hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…