Matokeo ya haya yote ni uzuzu wa watu kama masareRing roads, airport, magufuli city, nyumba za matasisi ya serikali, makao makuu ya baadhi ya taasisi za kiserikali, uwanja wa mpira ambao nao unayeyuka kinywani n.k ni matokeo ya Mzee baba. Bunge lilikuwepo Toka muda Dodoma haikuwa na value yoyote. Kama huelewi usibishane hivyo hovyo. Kuna aliyejenga TAMISEMI mbona unakuwa fala mdogo wangu??. Nimekufuatilia jomba wewe ni hamnazo.
๐๐Mwanza wakajilinganishe na Kisumu .Na kwa projects za ujenzi zinazoendelea Dom baada ya miaka michache nusu ya balozi+taasisi+mashirika yote ya kimataifa headquarters zitakua Dom.Dom ni Jiji la Kimataifa sio sawa na hicho Kijiji Cha wavuvi ๐๐
Nabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dom kumbe.Wizara ya TAMISEMI imeundwa tangu enzi za Mkapa na majengo ya Wizara ya Tamisemi yalijengwa tangu enzi za Mkapa(majengo yapo mawili Mkapa House na lingine karibu na CDA) ndiomana watumishi wote wa serikali walikua wanaenda Dom kusolve ishu zao hata kabla ya Magufuli City.Kuna aliyejenga TAMISEMI
Katiyangu mimi na wewe nani fala...๐๐usiyejua mchakato wa ujenzi makao makuu ulianza tangu enzi za Nyerere.Kila awamu imefanya kazi yake.Ujenzi wa mji mkuu ni "process"mbona unakuwa fala mdogo wangu??. Nimekufuatilia jomba wewe ni hamnazo
Uliojaa ofisini za kimataifa zimewafaidisha Nini wakati hata hotels ni za hovyo tu mnazidiwa na Jiji lenye local NGO's๐๐Mwanza wakajilinganishe na Kisumu .Na kwa projects za ujenzi zinazoendelea Dom baada ya miaka michache nusu ya balozi+taasisi+mashirika yote ya kimataifa headquarters zitakua Dom.
Uwepo wa mashirika ya kimataifa una-affect purchasing power,tax collection +local economies.
Kamwe huwezi kulinganisha uchumi wa mji uliojaa ofisi za kimataifa na mji uliojaa local NGO's ๐๐
Ni process au maamuzi acha kujichetua. Mbona mnashangilia miradi ya Dodoma inayoendelea na kumnanga magu ihali ilianzishwa awamu ya tano?.Katiyangu mimi na wewe nani fala...๐๐usiyejua mchakato wa ujenzi makao makuu ulianza tangu enzi za Nyerere.Kila awamu imefanya kazi yake.Ujenzi wa mji mkuu ni "process"
Unajua CDA na master plan ya Dom ilipangwa lini...!!?
Maskini hajui hata maana ya dual carriage... kwamba toka uhuru Hamna mji uliojengewa dual carriage...Dom wanapendelewa sana aisee...tangu tupate uhuru hakuna mji umewahi kujengewa dual carriage way.Mwanza wao bado wanapambana na changamoto ya barabara mpaka leo ๐๐๐
Dom is very far ahead of your fishing town by any metrics
View attachment 3128098
You won't these iconic landmark in your shabby village
Soma taratibu usije pata heart attack kisa maendeleo ya Dom.Maskini hajui hata maana ya dual carriage... kwamba toka uhuru Hamna mji uliojengewa dual carriage...
You're clown ๐คก ๐คก ๐คก ๐คก
Uamuzi wa kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dom ulifanywa mwaka 1973 na Nyerere.Kila awamu inapata credit ni sawasawa na ujenzi wa nyumba fundi rangi hawezi kujisifu kuwa yeye ndio bora huku akimsahau aliyefyatua tofali au aliyeweka paaNi process au maamuzi acha kujichetua. Mbona mnashangilia miradi ya Dodoma inayoendelea na kumnanga magu ihali ilianzishwa awamu ya tano?.
Huyo anabisha ili aonekane na yeye amejibiwa๐๐๐Soma taratibu usije pata heart attack kisa maendeleo ya Dom.
Wamesema Barabara inapanuliwa kuwa njia ngapi? ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DBO_vBROuAN/?igsh=MWZ1bG9lcG1hb3p0aA==
Kama hivi๐๐Uliojaa ofisini za kimataifa zimewafaidisha Nini wakati hata hotels ni za hovyo tu mnazidiwa na Jiji lenye local NGO's
Bila maamuzi yake hayo unayotamba nayo yangekuwepo?
Unatapatapa sana Mzee baba.Ni process au maamuzi acha kujichetua. Mbona mnashangilia miradi ya Dodoma inayoendelea na kumnanga magu ihali ilianzishwa awamu ya tano?.
Hata Wizara ya Ushirika ilishahamia Dom kitambo ,CCM Makao Makuu,Ukumbi wa Jakaya Kikwete white House nk-JPM ndio alijenga Udom..!!?
-JPM ndio alianzisha CDA..!?
- JPM ndio alijenga Bunge..!!?
-JPM ndio alijenga TAMISEMI..!?
-JPM ndio alijenga Benjamin Mkapa Hospital ..!!?
Rudi shule
Hawa jamaa wasukuma ndiomana wanadharauliwa sana huku mjini kwa ushamba....yaani "madini na facts" zote tunazowapa badala ya kushukuru tunawasaidia kuongeza maarifa wao ndio kwanza wanaleta ushabiki maandazi๐๐.Hata Wizara ya Ushirika ilishahamia Dom kitambo ,CCM Makao Makuu,Ukumbi wa Jakaya Kikwete white House nk
Kiingereza cha wapi hiki eti you won't theseโโ๐๐View attachment 3128098
You won't these iconic landmark in your shabby village
Tulia upate dozi kutoka Dom HQ๐๐Uliojaa ofisini za kimataifa zimewafaidisha Nini wakati hata hotels ni za hovyo tu mnazidiwa na Jiji lenye local NGO's
Hii video imewaumbua sana, Down town yenu bado mna safari ndefu, sehemu nzuri inayovutia ni medeli na Mtumba angalau