Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ring roads, airport, magufuli city, nyumba za matasisi ya serikali, makao makuu ya baadhi ya taasisi za kiserikali, uwanja wa mpira ambao nao unayeyuka kinywani n.k ni matokeo ya Mzee baba. Bunge lilikuwepo Toka muda Dodoma haikuwa na value yoyote. Kama huelewi usibishane hivyo hovyo. Kuna aliyejenga TAMISEMI mbona unakuwa fala mdogo wangu??. Nimekufuatilia jomba wewe ni hamnazo.
Matokeo ya haya yote ni uzuzu wa watu kama masare
 
Dom ni Jiji la Kimataifa sio sawa na hicho Kijiji Cha wavuvi 😂😂
😂😂Mwanza wakajilinganishe na Kisumu .Na kwa projects za ujenzi zinazoendelea Dom baada ya miaka michache nusu ya balozi+taasisi+mashirika yote ya kimataifa headquarters zitakua Dom.
Uwepo wa mashirika ya kimataifa una-affect purchasing power,tax collection +local economies.
Kamwe huwezi kulinganisha uchumi wa mji uliojaa ofisi za kimataifa na mji uliojaa local NGO's 😂😂
 
Kuna aliyejenga TAMISEMI
Nabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dom kumbe.Wizara ya TAMISEMI imeundwa tangu enzi za Mkapa na majengo ya Wizara ya Tamisemi yalijengwa tangu enzi za Mkapa(majengo yapo mawili Mkapa House na lingine karibu na CDA) ndiomana watumishi wote wa serikali walikua wanaenda Dom kusolve ishu zao hata kabla ya Magufuli City.
Siku nyingine ficha ujinga wako hapa
 
mbona unakuwa fala mdogo wangu??. Nimekufuatilia jomba wewe ni hamnazo
Katiyangu mimi na wewe nani fala...😂😂usiyejua mchakato wa ujenzi makao makuu ulianza tangu enzi za Nyerere.Kila awamu imefanya kazi yake.Ujenzi wa mji mkuu ni "process"
Unajua CDA na master plan ya Dom ilipangwa lini...!!?
 
😂😂Mwanza wakajilinganishe na Kisumu .Na kwa projects za ujenzi zinazoendelea Dom baada ya miaka michache nusu ya balozi+taasisi+mashirika yote ya kimataifa headquarters zitakua Dom.
Uwepo wa mashirika ya kimataifa una-affect purchasing power,tax collection +local economies.
Kamwe huwezi kulinganisha uchumi wa mji uliojaa ofisi za kimataifa na mji uliojaa local NGO's 😂😂
Uliojaa ofisini za kimataifa zimewafaidisha Nini wakati hata hotels ni za hovyo tu mnazidiwa na Jiji lenye local NGO's
 
Katiyangu mimi na wewe nani fala...😂😂usiyejua mchakato wa ujenzi makao makuu ulianza tangu enzi za Nyerere.Kila awamu imefanya kazi yake.Ujenzi wa mji mkuu ni "process"
Unajua CDA na master plan ya Dom ilipangwa lini...!!?
Ni process au maamuzi acha kujichetua. Mbona mnashangilia miradi ya Dodoma inayoendelea na kumnanga magu ihali ilianzishwa awamu ya tano?.
 
Dom wanapendelewa sana aisee...tangu tupate uhuru hakuna mji umewahi kujengewa dual carriage way.Mwanza wao bado wanapambana na changamoto ya barabara mpaka leo 😂😂😂
Maskini hajui hata maana ya dual carriage... kwamba toka uhuru Hamna mji uliojengewa dual carriage...
You're clown 🤡 🤡 🤡 🤡
 
Dom is very far ahead of your fishing town by any metrics
20241017_210622.jpg

You won't these iconic landmark in your shabby village
 
Ni process au maamuzi acha kujichetua. Mbona mnashangilia miradi ya Dodoma inayoendelea na kumnanga magu ihali ilianzishwa awamu ya tano?.
Uamuzi wa kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dom ulifanywa mwaka 1973 na Nyerere.Kila awamu inapata credit ni sawasawa na ujenzi wa nyumba fundi rangi hawezi kujisifu kuwa yeye ndio bora huku akimsahau aliyefyatua tofali au aliyeweka paa
 
Bila maamuzi yake hayo unayotamba nayo yangekuwepo?
Ni process au maamuzi acha kujichetua. Mbona mnashangilia miradi ya Dodoma inayoendelea na kumnanga magu ihali ilianzishwa awamu ya tano?.
Unatapatapa sana Mzee baba.

Anaemnanga ni nani?

Kwani kabla ya Magu Dom haikuwa HQ? Ujenzi na upangaji ulishaanza kitambo ndio maana kulikuwa Kuna Bunge,UDOM,Chimwaga Complex,Chamwino Ikulu ,Barabara zote kuu za kuingia na kutoka Dom kuwekwa lami nk

Magu alitoa msukumo mkubwa ila hata asingekuwa yeye Bado Mji Mkuu ungejengwa hata iwe 2050
 
-JPM ndio alijenga Udom..!!?
-JPM ndio alianzisha CDA..!?
- JPM ndio alijenga Bunge..!!?
-JPM ndio alijenga TAMISEMI..!?
-JPM ndio alijenga Benjamin Mkapa Hospital ..!!?

Rudi shule
Hata Wizara ya Ushirika ilishahamia Dom kitambo ,CCM Makao Makuu,Ukumbi wa Jakaya Kikwete white House nk
 
Hata Wizara ya Ushirika ilishahamia Dom kitambo ,CCM Makao Makuu,Ukumbi wa Jakaya Kikwete white House nk
Hawa jamaa wasukuma ndiomana wanadharauliwa sana huku mjini kwa ushamba....yaani "madini na facts" zote tunazowapa badala ya kushukuru tunawasaidia kuongeza maarifa wao ndio kwanza wanaleta ushabiki maandazi😂😂.
Yaani mtu ameenda shule alafu anashindwa hata kugoogle tu neno "Mkapa House Dodoma" akapata maarifa😂😂😂
 
Back
Top Bottom