ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Igogo Iko Dodoma? ππππMnakusanya vipicha vya Igogo mwanza ni jiji aisee Dodoma tupa kule
Hakuna maajabu hapo Dodoma sema ushamba unakusumbua Bora nikaishi morogoro sio hapo ukame center. Mwanza ni upcoming city licha ya kutelekezwa na serikali kimiundombinu lakini bado ni jiji la pili kwa ukubwa huwa najiuliza hivi kama ingepewa hata robo tu ya miradi iliyojengwa Dodoma ingekuwaje,,Dodoma Kuna miradi ya serikali lakini mwanza bado IPO juu kimapato π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£haya ni maajabu ya duniaDom ni Jiji la Kimataifa sio sawa na hicho Kijiji Cha wavuvi ππ
Yaani mtu aache kwenda kufanya utalii Burj khalifa Dubai au Bugando mwanza akashangae majengo ya Dodoma wewe hamnazo kweli π€£π€£π€£π€£π€£Igogo Iko Dodoma? ππππ
Bado hujasema Hadi useme ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBQSXVoNvgs/?igsh=MWEzenJjMXZ1Y2J0MA==
Unateseka sana sema nini maajabu Yako mengi sana kulinganisha na Mwanza fishing town ππHakuna maajabu hapo Dodoma sema ushamba unakusumbua Bora nikaishi morogoro sio hapo ukame center. Mwanza ni upcoming city licha ya kutelekezwa na serikali kimiundombinu lakini bado ni jiji la pili kwa ukubwa huwa najiuliza hivi kama ingepewa hata robo tu ya miradi iliyojengwa Dodoma ingekuwaje,,Dodoma Kuna miradi ya serikali lakini mwanza bado IPO juu kimapato π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£haya ni maajabu ya dunia
Nyie washamba wa Mwanza ,Dubai yenu ni Dom ππYaani mtu aache kwenda kufanya utalii Burj khalifa Dubai au Bugando mwanza akashangae majengo ya Dodoma wewe hamnazo kweli π€£π€£π€£π€£π€£
Unajikuta msomi kumbe mavi...usikute hata shahada ya pili huna ..ila kibachala chako na GPA lower second ndo unajikuta genius ...Kiingereza cha wapi hiki eti you won't theseββππ
..these ni plural na this ni singular
Hii hata mtoto wa form one anakushinda grammarπ€£π€£π€£
Hatuna shida na mabwawa fakeMwanza mtazimia mwaka huu ππ
Dom HQππ
View: https://www.instagram.com/reel/DBQg9Z2tMDW/?igsh=dGcxNnhzdnYwcmh3
Nyie washamba wa Mwanza ,Dubai yenu ni Dom ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBQdmgiqixr/?igsh=MXkwdmsydW41MG1uNQ==
Wamekopi kwenye Uzi wangu hao.View attachment 3128516
Furukuta kote hapa utakaa
MEMKWA ndio huwa wanabishana picha kwa picha,video kwa video.picha
Hiki ni nini zaidi ya kambi ya kutunzia matofari? ππUnajikuta msomi kumbe mavi...usikute hata shahada ya pili huna ..ila kibachala chako na GPA lower second ndo unajikuta genius ...
Taka taka hapa hatutaki maneno ..kama huna picha au link kama mwenzio choice variable ..katafute thread za majukwaa ya siasa au ya wasomi wenzio kushauriana vyuo .
Mwanza is booming,πView attachment 3128512
Ona huko background kwenye Vijumba hakuna hata Barabara za vumbi.Unajikuta msomi kumbe mavi...usikute hata shahada ya pili huna ..ila kibachala chako na GPA lower second ndo unajikuta genius ...
Taka taka hapa hatutaki maneno ..kama huna picha au link kama mwenzio choice variable ..katafute thread za majukwaa ya siasa au ya wasomi wenzio kushauriana vyuo .
Mwanza is booming,πView attachment 3128512
Dom ni jiji pekee lililoanzisha utalii wa miradi Afrika nzimaππYaani mtu aache kwenda kufanya utalii Burj khalifa Dubai au Bugando mwanza akashangae majengo ya Dodoma wewe hamnazo kweli π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe ni mjinga ..Uzi WA kipuuzi ule nani aukopi ..unaweka vimradi vya kijinga...Wamekopi kwenye Uzi wangu hao.
Weka taarifa yote sio screenshot
Barabara za lami Dom wanapendelewa sana aisee ...yaani wana mtandao mpana wa barabara za lami na bado kilasiku zinaongezeka.Mshindani wa Dom kwenye barabara za lami ni Ilala.Nyie washamba wa Mwanza ,Dubai yenu ni Dom ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBQdmgiqixr/?igsh=MXkwdmsydW41MG1uNQ==
huna usomi wowote....hyo bachelor yako Tena yenye GPA za kudunduliza ..usitutishe hapa ..huu Uzi huwezi .nenda jukwaa siasa ndio size yqkoMEMKWA ndio huwa wanabishana picha kwa picha,video kwa video.
Wasomi huwa tunabishana hoja kwa hoja,maarifa kwa maarifa, facts kwa facts,details kwa details,references kwa references,vitabu kwa vitabu.
Wewe rudi shule kwanza ukajifunze tofauti ya 'these" na "this" ...hata mtoto wa form anakushinda π€£π€£π€£
Ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart+updated kichwani pili uwe na facts na hoja zilizoenda shule.huna usomi wowote....hyo bachelor yako Tena yenye GPA za kudunduliza ..usitutishe hapa ..huu Uzi huwezi .nenda jukwaa siasa ndio size yqko
Mbona ofisi nyingi za Dom hazina feni wala AC kama hali ya hewa ni mbayaπ€£π€£. Naona umeamua kuleta vioja....Dubai inaongoza duniani vp unaijua hali ya hewa ya kule.na kusikia ni kwamba Wana mji wenye ukame na hali mbaya ya hewa