Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom ni Jiji la Kimataifa sio sawa na hicho Kijiji Cha wavuvi πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna maajabu hapo Dodoma sema ushamba unakusumbua Bora nikaishi morogoro sio hapo ukame center. Mwanza ni upcoming city licha ya kutelekezwa na serikali kimiundombinu lakini bado ni jiji la pili kwa ukubwa huwa najiuliza hivi kama ingepewa hata robo tu ya miradi iliyojengwa Dodoma ingekuwaje,,Dodoma Kuna miradi ya serikali lakini mwanza bado IPO juu kimapato 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣haya ni maajabu ya dunia
 
Unateseka sana sema nini maajabu Yako mengi sana kulinganisha na Mwanza fishing town πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DBQRB73sYpx/?igsh=MWQycnZhMXRjYXAyag==
 
Kiingereza cha wapi hiki eti you won't theseβŒβŒπŸ˜‚πŸ˜‚
..these ni plural na this ni singular
Hii hata mtoto wa form one anakushinda grammar🀣🀣🀣
Unajikuta msomi kumbe mavi...usikute hata shahada ya pili huna ..ila kibachala chako na GPA lower second ndo unajikuta genius ...
Taka taka hapa hatutaki maneno ..kama huna picha au link kama mwenzio choice variable ..katafute thread za majukwaa ya siasa au ya wasomi wenzio kushauriana vyuo .

Mwanza is booming,πŸ‘‡
20241001_145706.jpg
 
MEMKWA ndio huwa wanabishana picha kwa picha,video kwa video.
Wasomi huwa tunabishana hoja kwa hoja,maarifa kwa maarifa, facts kwa facts,details kwa details,references kwa references,vitabu kwa vitabu.
Wewe rudi shule kwanza ukajifunze tofauti ya 'these" na "this" ...hata mtoto wa form anakushinda 🀣🀣🀣
 
Unajikuta msomi kumbe mavi...usikute hata shahada ya pili huna ..ila kibachala chako na GPA lower second ndo unajikuta genius ...
Taka taka hapa hatutaki maneno ..kama huna picha au link kama mwenzio choice variable ..katafute thread za majukwaa ya siasa au ya wasomi wenzio kushauriana vyuo .

Mwanza is booming,πŸ‘‡View attachment 3128512
Hiki ni nini zaidi ya kambi ya kutunzia matofari? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajikuta msomi kumbe mavi...usikute hata shahada ya pili huna ..ila kibachala chako na GPA lower second ndo unajikuta genius ...
Taka taka hapa hatutaki maneno ..kama huna picha au link kama mwenzio choice variable ..katafute thread za majukwaa ya siasa au ya wasomi wenzio kushauriana vyuo .

Mwanza is booming,πŸ‘‡View attachment 3128512
Ona huko background kwenye Vijumba hakuna hata Barabara za vumbi.

Mwanza ni Mji wa hovyo sana 😁😁
 
Yaani mtu aache kwenda kufanya utalii Burj khalifa Dubai au Bugando mwanza akashangae majengo ya Dodoma wewe hamnazo kweli 🀣🀣🀣🀣🀣
Dom ni jiji pekee lililoanzisha utalii wa miradi Afrika nzimaπŸ‘‡πŸ‘‡
 
MEMKWA ndio huwa wanabishana picha kwa picha,video kwa video.
Wasomi huwa tunabishana hoja kwa hoja,maarifa kwa maarifa, facts kwa facts,details kwa details,references kwa references,vitabu kwa vitabu.
Wewe rudi shule kwanza ukajifunze tofauti ya 'these" na "this" ...hata mtoto wa form anakushinda 🀣🀣🀣
huna usomi wowote....hyo bachelor yako Tena yenye GPA za kudunduliza ..usitutishe hapa ..huu Uzi huwezi .nenda jukwaa siasa ndio size yqko
 
Kitu ambacho Dodoma hawapendi kuona na kusikia ni kwamba Wana mji wenye ukame na hali mbaya ya hewa..hata ukipanda bustani inakauka ..
Dodoma huwezi pata sehemu yenye mazingira makali kama ha
2142519105.jpg
-1946599202.jpg
ya
 
huna usomi wowote....hyo bachelor yako Tena yenye GPA za kudunduliza ..usitutishe hapa ..huu Uzi huwezi .nenda jukwaa siasa ndio size yqko
Ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart+updated kichwani pili uwe na facts na hoja zilizoenda shule.
Picha za kuedit na video peleka kwenye thread yenu mkajifarijiπŸ‘‡πŸ‘‡

na kusikia ni kwamba Wana mji wenye ukame na hali mbaya ya hewa
Mbona ofisi nyingi za Dom hazina feni wala AC kama hali ya hewa ni mbaya🀣🀣. Naona umeamua kuleta vioja....Dubai inaongoza duniani vp unaijua hali ya hewa ya kule.
Kama hali ya hewa ni kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Njombe,Makete,Mafinga zingeshapewa hadhi ya Jiji.
Rudi shule aisee
 
Back
Top Bottom