Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

😀😀Kumuelimisha mjinga ni kazisana...hivi kuna mtu yoyote asiyejua Dom ina mtandao mpana wa barabara za lami.
Huyu jamaa na wenzake ndiomana huwa nawadharau sana wanaishia kuokoteza vipicha na kupost hawana facts zozote.
Upumbavu ndio tabia Yako kwa hyo hatutishwi na ujinga wako....
No pictures no right to speak
Nenda jukwaa lako la umbeya hapa ni picha na evidence.

HUwezi PATA vitu iconic.shopping mall kubwa kama hii hapo matumbulu mahomanyika desert 🥺🤡🇦🇪🇦🇪
 
Sijasoma kozi nyepesi kama hizo we fala, usipate wenge na ukaweweseka. Kifupi Mimi na wewe ni watu wawili tofauti kabisa. Tu kwasababu hapa tunapumzikia usifikiri tunafanana. Toa utahira huo kichwani mwako
Jibu swali kozi yako ya "maendeleo ya jamii" 😂😂😂 certificate au ile ya NTA level 1 ulisomea IRDP ya wapi Mwanza au Dom....tumalize ubishi
 
Kaanzishe ya kwako na wewe usinipangie boya wewe
Siwezi kuanzisha studio ya picha hata sikumoja...professional yangu sio mpiga picha kama wewe🤣🤣🤣.
Threads zangu ninazoanzisha humu JF ni kwaajili ya ku-impart knowledge,facts,details,hoja zenye mashiko sinaga muda wa ushabiki maandazi😀😀😀
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga eti...Hii thread inahusu Jiji la Mwanza sio mkoa wa Mwanza 😂😂Daraja la Kigongo-Busisi linaunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema.
Huelewi kitu wewe kijiografia daraja la kigongo busisi Lina impact kubwa kwa mwanza jiji kuliko unavyodhani 🤣🤣🤣
 
Huelewi kitu wewe kijiografia daraja la kigongo busisi Lina impact kubwa kwa mwanza jiji kuliko unavyodhani 🤣🤣🤣
Daraja linaunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema unalazimisha liwe Mwanza mjini😀😀.Kawadanganye wasiojua geography .
Kwahiyo Dom na wenyewe waseme madaraja ya Chamwino,Kondoa,Chemba,Bahi,Mpwapwa,Kongwa yapo Dom mjini😀😀.
Nilikwambia ukija kwangu uwe na facts kichwani la sivyo nitakuaibisha tu kama ninavyowaaibisha wenzako.
 
Certificate ya nyoko
Hujajibu swali ...certificate yako ya "maendeleo ya jamii"🤣🤣 ulisomea IRDP main campus Dom au IRDP- Mwanza chini ya NACTVET 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hujajibu swali ...certificate yako ya "maendeleo ya jamii"🤣🤣 ulisomea IRDP main campus Dom au IRDP- Mwanza chini ya NACTVET 😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaongelea certificate unafikiri tunalingana we fala. Ukisoma level hiyo inatosha usitushirikishe level yako ya elimu sisi zaidi tutakudharau.
 
Unaongelea certificate unafikiri tunalingana we fala. Ukisoma level hiyo inatosha usitushirikishe level yako ya elimu sisi zaidi tutakudharau.
mbona unaruka ruka swali gumu au...😀😀tuambie certificate yako ya community development under NACTVET ulisomea wapi IRDP Dom au Mwanza tumalize ubishi🤣🤣
 
mbona unaruka ruka swali gumu au...😀😀tuambie certificate yako ya community development under NACTVET ulisomea wapi IRDP Dom au Mwanza tumalize ubishi🤣🤣
Achana na Mimi usijichekeshe Sina sura laini Mimi
 
🤣🤣🤣🤣Kama hujui bora muwe mnauliza sio kuropoka kama mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…