Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Upumbavu ndio tabia Yako kwa hyo hatutishwi na ujinga wako....😀😀Kumuelimisha mjinga ni kazisana...hivi kuna mtu yoyote asiyejua Dom ina mtandao mpana wa barabara za lami.
Huyu jamaa na wenzake ndiomana huwa nawadharau sana wanaishia kuokoteza vipicha na kupost hawana facts zozote.
No pictures no right to speak
Nenda jukwaa lako la umbeya hapa ni picha na evidence.
HUwezi PATA vitu iconic.shopping mall kubwa kama hii hapo matumbulu mahomanyika desert 🥺🤡🇦🇪🇦🇪