Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji23][emoji23] hapo umeiona buswelu?, Umeiona nyasaka hapo?, Umeiona bwiru hapo?, Hapo umeiona Ghana, umeiona mission hapo, pasiansi umeiona hapo au umeona hata sehemu ndogo ya kiseke hapo? Au umeona kuna airport hapo? Au umeiona kirumba hapo?
Huyo jamaa akili zimeruka mwanza haijui ila bado anapiga kelele
 
Dodoma sio sawa na kijiji cha wavuvi cha Mwanza,kwamba hiyo picha inaonyesha Medeli,kisasa,ihumwa,mtumba,nzunguni,Mkonze nk ?

Acha ujinga,Mwanza tofauti na pale CBD hakuna kitu kwingine kote ni slums tupu.
Mimi Niko Dodoma Kwa Sasa maeneo ya Kikuyu karibu na st John ..


Aisee acha kulinganisha Mwanza na huu uchafu ninaouona hapa....

Huku Kikuyu Kuna Hadi zile nyumba za tope za wagogo...

Vumbi Sasa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Twende na ukweli mtaa wa rufiji unazipjga chini dodoma yote na singinda yote combined( singinda mniwie radhi)
mitaa hiyo inasifa ya kujenga magorofa marefu sana na cdb inazidi kutanuka tu.
 
Huyu jamaa hana akili achana naye,sijui anaiongelea mwanza ya wapi,eti mwanza upambanishe na Dodoma,huyu katoroka mirembe sio bure
 
Umeruhusiwa lini kutoka hapo mirembe hospital,inawezekana umetokea hujapona vizuri,mji wa Zanzibar Kwa mwanza hautii mguu iwe Kwa idadi ya watu au kiuchumi,Sasa Wewe mgogo wa dodoma eti unataka mwanza ulinganishe nayo,hicho Kijiji Cha ombaomba na wakoma,pole sana
 
Huyo ni mgogo hajui lolote msamehe bure
 
Utakuja kuwaua na presha wagogo maana wanataka kujilinganisha na Babu Yao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…