Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji23][emoji23] hapo umeiona buswelu?, Umeiona nyasaka hapo?, Umeiona bwiru hapo?, Hapo umeiona Ghana, umeiona mission hapo, pasiansi umeiona hapo au umeona hata sehemu ndogo ya kiseke hapo? Au umeona kuna airport hapo? Au umeiona kirumba hapo?
Huyo jamaa akili zimeruka mwanza haijui ila bado anapiga kelele
 
Dodoma sio sawa na kijiji cha wavuvi cha Mwanza,kwamba hiyo picha inaonyesha Medeli,kisasa,ihumwa,mtumba,nzunguni,Mkonze nk ?

Acha ujinga,Mwanza tofauti na pale CBD hakuna kitu kwingine kote ni slums tupu.
Mimi Niko Dodoma Kwa Sasa maeneo ya Kikuyu karibu na st John ..


Aisee acha kulinganisha Mwanza na huu uchafu ninaouona hapa....

Huku Kikuyu Kuna Hadi zile nyumba za tope za wagogo...

Vumbi Sasa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Twende na ukweli mtaa wa rufiji unazipjga chini dodoma yote na singinda yote combined( singinda mniwie radhi)
mitaa hiyo inasifa ya kujenga magorofa marefu sana na cdb inazidi kutanuka tu.
 
Kilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza [emoji32]

Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.

Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.

Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.

Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Huyu jamaa hana akili achana naye,sijui anaiongelea mwanza ya wapi,eti mwanza upambanishe na Dodoma,huyu katoroka mirembe sio bure
 
Mwanza tunauhaba wa picha nimebahatika kuzipata hizi isamilo,mwananchi, bwiru
images%20(27).jpg
images%20(26).jpg
images%20(25).jpg
images%20(24).jpg
 
Kwa "mtazamo wangu mimi Dodoma inaienda kuipita Mwanza au tayari ilishaipita Mwanza kwa ukubwa wa Jiji. Idadi ya majengo marefu Dodoma inaweza ikawa imeipita Mwanza kwa sababu mwanza Majengo yake marefu yamekusanyika sehemu Moja tofauti na Dodoma ambapo ni mengi ila yapo scattered.
Kwa upande wa barabara Mwanza tayari imeshaachwa parefu sana.
In Short Mwanza ni kama imefikia mwisho kuendelezwa.
Umeruhusiwa lini kutoka hapo mirembe hospital,inawezekana umetokea hujapona vizuri,mji wa Zanzibar Kwa mwanza hautii mguu iwe Kwa idadi ya watu au kiuchumi,Sasa Wewe mgogo wa dodoma eti unataka mwanza ulinganishe nayo,hicho Kijiji Cha ombaomba na wakoma,pole sana
 
Wewe jamaa ni zero kabisa Mwanza unaijua? Mwanza ni mji mkubwa sana mara 100 ya dodoma..... dodoma hapa kweli [emoji1787][emoji1787] uko mitaa gani kesho tuonane

Mwanza ndio mji pekee nje ya dar ambao unaweza kutembea karibia kilometers 100 ukawa ndani ya jiji
Huyo ni mgogo hajui lolote msamehe bure
 
Mwanza Vs Dom.

Anyway napaoenda Dom nimejifunza mengi katika mji huo. Ila Mwanza ndo nimeanzia maisha Rasmi.

Nianze.
Majengo naipa Mwanza.
Usafiri wa umma MWANZA
Mahotel Mwanza.
Mipango mji Dom
Ukubwa wa Jiji Mwanza
Wingi wa watu Mwanza
Biashara mseto Mwanza
Bata kubwa Mwanza
Mzunguko wa pesa Mwanza.
Vyuo vingi Dom
Club Kali Mwanza
Bar Kali Mwanza
Malaya wengi Dom
Chakula bei nafuu Mwanza
Gharama nafuu za ujenzi Mwanza
Ardhi nafuu Mwanza
Viwanda vingi Mwanza
Kilimo katka peripheries MWANZA
Usafiri Bora na haraka nje ya Jiji Mwanza
Utakuja kuwaua na presha wagogo maana wanataka kujilinganisha na Babu Yao,
 
Back
Top Bottom