ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio majengo marefu haya uliyokuwa unasema? Below 10gflrs
Acha kuleta vichekeshoHata uzuri wa majengo tunawabutua jichanganyeni muoneπ€£π€£π€£
Alokwambia ndo majengo marefu ni nani jichanganye nikunyorosheNdio majengo marefu haya uliyokuwa unasema? Below 10gflrs
Ina uzuri Gani hiyo nyumbaππππππππ Nimecheka.
Sema huna Cha kuonesha ,Mwanza ni local ,poor and disorganized City ndio maana huwezi Kuta Real estates company huko na by the way hakuna wateja ππ
View: https://youtu.be/tJG714FjIdo?si=Nkw9wQDxaG-LJFBV

Mji umejaa madalali huoππππππππ Nimecheka.
Sema huna Cha kuonesha ,Mwanza ni local ,poor and disorganized City ndio maana huwezi Kuta Real estates company huko na by the way hakuna wateja ππ
View: https://youtu.be/tJG714FjIdo?si=Nkw9wQDxaG-LJFBV
Vibrant City,Dom HQ ππIna uzuri Gani hiyo nyumba
Leta majengo mazuri kama hayo hapo Dodoma, ukijibu nakuletea spana zingine
Huyu Naye dalali *****π€£π€£
Huyu Naye dalali *****π€£π€£
Leta majengo mazuri kama hayo hapo Dodoma, ukijibu nakuletea spana zingine
Vibrant City with shriving real estates business in DOM HQ ππMji umejaa madalali huo
Dom HQ ππLeta majengo mazuri kama hayo hapo Dodoma, ukijibu nakuletea spana zingine
Dom HQ like never before ππAlokwambia ndo majengo marefu ni nani jichanganye nikunyoroshe
Hivi vibenk vya kienyeji ni vya kumitishia mtu kweli ....Ilikuwepo Mbeya kabla ya Mwanza π€ͺπ€ͺππ
View: https://x.com/Visitmbeya/status/1843644627666235764?t=q3GO49Z59eu3lRTYzLM3KA&s=19
Mwisho PBZ Iko Dom kitambo sana.
Kiufupi Mwanza Kuna maskini Benki zinajikongoja kuja.
Paper town ππππIhumwa Satellite City,Dom HQ π₯π₯ππ
View: https://youtu.be/apyKBxKVUhA?si=Sx5Lyz2Vr8utL-UG
Only available in Dom vibrant City sio local Town like Mwanza
Tunaomba kujua kama hizi international banks zipo hukoUnatia aibu sana naona unaruka ruka tu ...Kwanza tumekufuta ujinga wa kutokujua kwamba wenzenu Dom PBZ ilishafungua tawi huko kitambo hilo shukuru umepata elimu ya bureππ
.Pili Jiji la Dom limeipita Mwanza Jiji mapato mbali sana usilete habari za "mkoa" wa Mwanza wenye halmashauri nane .
Rudi shule aisee
Umehamisha magoli tenaπππ....mpaka sasa ubao unasoma 3-0Tunaomba kujua kama hizi international banks zipo huko
FNB
STANDARD CHARTERED
BANK OF BARODA
AFRICAN HABIB
ECO BANK
msituletee vibenk vya kienyeji hapa
Ukitaka kuamini Dodoma ni uselessDom HQ ππ
View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=S7kkQHJh9SrUKO24
Mkuu utateseka sana ,Dom ilishavuka level za kuwa local kama Mwanza ππ
View: https://youtu.be/Ys8gKKWny8E?si=LdSQo0A0xhKKqEW7
Jibu swali ...nyie si financial giant kuliko mwanza..zipo au hazipo?Umehamisha magoli tenaπππ....mpaka sasa ubao unasoma 3-0