Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

 

Attachments

  • Screenshot_20220116-203148.jpg
    42.9 KB · Views: 22
Mimi Niko Dodoma Kwa Sasa maeneo ya Kikuyu karibu na st John ..


Aisee acha kulinganisha Mwanza na huu uchafu ninaouona hapa....

Huku Kikuyu Kuna Hadi zile nyumba za tope za wagogo...

Vumbi Sasa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe peke yako ndio unauona huo uchafu? 😁😁

Kwanza Mwanza nzima kuna hata apartments kweli?

Dom kama Dom 👇













 
Dom haitegemei CBD tuu,Dom ni Jiji la kisasa huduma zimetawanyika toa ushamba wa Mwanza.
 
[emoji23][emoji23] hapo umeiona buswelu?, Umeiona nyasaka hapo?, Umeiona bwiru hapo?, Hapo umeiona Ghana, umeiona mission hapo, pasiansi umeiona hapo au umeona hata sehemu ndogo ya kiseke hapo? Au umeona kuna airport hapo? Au umeiona kirumba hapo?
Hii hapa Mwanza halisi 😝😝😝



 
Kamji ka hovyo Sana hako yaani Mji wote ni slums, huwezi Kuta uchafu kama huu Dom



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…