Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkuu hii nimeisikia naambiwa hata Bugando wanajenga cafe Yao matata sana ,,,pia Bugando hao hao Wana eneo lao ibanda nasikia wanaangusha mabweni ya kibabe naipenda mwanza ooooh mwanza mwanza mji mji mzuri mwanza in lemi ongala voice
 
Ulisema umeondoka tangu 2018🤣🤣🤣
2018 nilikuwa likizo na ndo nilienda benki Moja ya kiislam wenyewe nilivowauliza wakasema imetokea Zanzibar 🤣🤣🤣 Sasa nahisi Zanzibar ndani ya mwanza Wana benki mbili ila mwaka huu nilikuwa mwanza majira ya kiangazi ndo nikapita hapo ukameni village kwa Sasa nipo Dar kumwelewesha mshamba ni tatizo kweli kweli🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wakumulaumu nani?. Viwanja vitano ndani ya mkoa mmoja ni matumizi mabaya ya kodi zetu na kukosa maarifa
 
Bado hujasema😀😀
Hivi wewe ni jinga la wapi mwanza ni ya pili kwa domestic flights za ndege baada ya Dar mpaka Sasa hivyo viwanja 5 vinatumiwa na ndege kunguru au mwanza airport wanajenga lounge ya kisasa hakuna mfano Juzi Juzi mkurugenzi wa ATCL amesaini mikataba na amesema mwanza ni uwanja wao wa kimkakati tunakushangaa kwa nguvu unayotumia kujitutumua kama vile watu hawaijui Dodoma au hiyo Sumbawanga kwenu huko maporini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bado hujasema😀😀
Mwanza ni nchi Dodoma bado sana huwezi linganisha na jiji lenye halmashauri mbili zinazounda jiji ilemela na nyamagana bado sana na hivi karibuni kisesa nayo itakuwa wilaya Sasa hapo sijui itakuwaje🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wakumulaumu nani?. Viwanja vitano ndani ya mkoa mmoja ni matumizi mabaya ya kodi zetu na kukosa maarifa
Bro mbona anakusumbua tu huyo zwazwa Dodoma inajulikana nje ndani hakuna jipya zaidi huto tujengo twa wizara 🤣🤣🤣
 
kisasa hakuna mfano Juzi Juzi mkurugenzi wa ATCL amesaini mikataba na amesema mwanza ni uwanja wao wa kimkakati
ficha ujinga wako wewe MEMKWA tangulini shirika la ndege ATCL likajenga uwanja wa ndege😀😀😀. Viwanja vya ndege vyote Tanzania vipo chini ya TAA.
😀😀😀Tumia ID yako ya sikuzote manake hii unayotumia inaonesha umejoin JF mwezi uliopita....utaendelea kuaibika tu🤣🤣
 
Uwiiiiiiiiii🤣🤣🤣😃wewe bwabwa kweli ngoja nikutafutie link mshamba wewe duuuh amesema wanajenga airport lounge ya kisasa sana kwa kushirikiana na TAA JF imekushinda huna jipya🤣🤣🤣🤣 Mwanza mwendo mdundo na bado nyie vilaza wa ukameni village 🤣🤣🤣🤣🤣
 
😀Mwambie huyo mshamba aende facebook akabishane comments zake utasikia mimi nipo Dar🤣🤣
Ulitaka niseme nipo ukameni village au Mbeya maporini wajanja wanaishi Mwanza na Dar kidooooooooooooooooooogo Arusha japo nacho ni kimji kidogo kilometa 5 tu ukitoka nje huko unaanza mapori🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…