Wewe unaonaje Hilo dongo kundu na hiyo miti imezeeka ikiwa na kimo Chako.
Maji ya kufunga irrigation yanatoka wapi Jangwani?Wewe unaonaje Hilo dongo kundu na hiyo miti imezeeka ikiwa na kimo Chako.
Ziwa VictoriaMaji ya kufunga irrigation yanatoka wapi Jangwani?
Kama tu Madarasa ya shule ya msingi
Kwenye video hii unaweza kuiona CBD kwa background bila kutumia miwani
Serikali ya nchi gani.....Rwanda au BurundiππNje ya majengo ya serikali Dodoma kuna baki na nini?
Hakika Dom ni SI unit ya ubora wa mipangomiji,barabara,mpangilio wa mitaa.....miji mingine wakajifunze kama walivyojifunza Abuja ππ.
Na huwezi kukuta vitu kama hivi...π€£π€£π€£Huwezi vikuta vitu kama hivi jangwani, never
Picha hapa chini ni video ya Mwanza yaani CBD ya Dom Iko vizuri kushinda huu uchafu,Hadi aibu πππππHakika Dom ni SI unit ya ubora wa mipangomiji,barabara,mpangilio wa mitaa.....miji mingine wakajifunze kama walivyojifunza Abuja ππ.
Shule ya Kirumba is Slum au? πππKama tu Madarasa ya shule ya msingi
Zabibu Hotel na haturingi ππ
Huku unyama si pesa zetu namaanisha Kodi zetu tumezielekeza hapo Wala hata hatushangaiShule ya Kirumba is Slum au? πππ
Dom HQ like never before π₯π₯ππ
View: https://youtu.be/qGt02uSe59I?si=4WSpTShsEFqLXo35
Bunge na udom tayari ipo dodoma.Kwa lile vumbi hapana bila bunge na udom pangebaki pa hovyo sana.
Ukilinga na hotel ya namna hii itakuwa una mapungufu kwenye medulla.Zabibu Hotel na haturingi ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DCDCIGSIiA6/?igsh=MWlwZTc5NHlucHg2Nw==
π¨π¨π¨ππUkilinga na hotel ya namna hii itakuwa una mapungufu kwenye medulla.