Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ya kufunga irrigation yanatoka wapi Jangwani?Wewe unaonaje Hilo dongo kundu na hiyo miti imezeeka ikiwa na kimo Chako.
Ziwa VictoriaMaji ya kufunga irrigation yanatoka wapi Jangwani?
Serikali ya nchi gani.....Rwanda au Burundi😀😀Nje ya majengo ya serikali Dodoma kuna baki na nini?
Na huwezi kukuta vitu kama hivi...🤣🤣🤣Huwezi vikuta vitu kama hivi jangwani, never
Picha hapa chini ni video ya Mwanza yaani CBD ya Dom Iko vizuri kushinda huu uchafu,Hadi aibu 😂😂😂👇👇Hakika Dom ni SI unit ya ubora wa mipangomiji,barabara,mpangilio wa mitaa.....miji mingine wakajifunze kama walivyojifunza Abuja 😀😀.
Shule ya Kirumba is Slum au? 😆😆😆Kama tu Madarasa ya shule ya msingi
Zabibu Hotel na haturingi 👇👇
Shule ya Kirumba is Slum au? 😆😆😆
Dom HQ like never before 🔥🔥👇👇
View: https://youtu.be/qGt02uSe59I?si=4WSpTShsEFqLXo35
Bunge na udom tayari ipo dodoma.Kwa lile vumbi hapana bila bunge na udom pangebaki pa hovyo sana.
Zabibu Hotel na haturingi 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCDCIGSIiA6/?igsh=MWlwZTc5NHlucHg2Nw==
🔨🔨🔨👇👇Ukilinga na hotel ya namna hii itakuwa una mapungufu kwenye medulla.