Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hii ni dodoma ambayo unakesha unatupigia keleleView attachment 2084229
Mara elfu hapo Dom ukizoom unakutana na maghorofa na nyumba mpya nzuri zenye mipangilio na ni makazi safi kabisa kwa binadamu kuishi kuliko Mwanza ya kina igogo, mabatini, bugarika, igelegele, machinjioni n.k
 
Kitu pekee ambacho dodoma inaizidi mwanza ni kutoa spika jobo ambaye hakumaliza hatam yake ya uongozi, unlike msekwa aliyemaliza hatamu yake.
 
Nitatuma picha za kule maeneo ya ilemela, malaika beach kuna mijengo zinatishia utawala wa capripoint.
[emoji16][emoji16] kwamba kuna utawala watu wanaenda kumyang'anya capripoint kwa nguvu!......mkuu to be honest kwa sasa moja ya sehemu tamu mwanza ni Kiseke B, na Buswelu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…