Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hospital ya maana hapo ni Benjamin mkapa tu
Zingine ni takataka ukilinganisha na mwanza health services providers
Bugando
Sekotoure
Agakhan
MWANZA hospital
Kamanga medics
Uhuru
Tanzanite
 
Hospital ya maana hapo ni Benjamin mkapa tu
Zingine ni takataka ukilinganisha na mwanza health services providers
Bugando
Sekotoure
Agakhan
MWANZA hospital
Kamanga medics
Uhuru
Tanzanite
Unachekesha sana ....hizo za Dodoma nilizokutajia zote ni za Serikali na nimekuonesha na "status/level" zake kwa kila moja kuanzia "National",Zonal Referral,Regional Referral,Regional,DDH n.k apo bado sijakutajia za Kanisa na za taasisi nyingine binafsi.
Kwa Mwanza Hospitali pekee inayoweza kujipima ubora na za Dom ni Bugando ambayo inaendeshwa kwa ubia wa Kanisa na Serikali
 
Jitekenye mwenyewe ..kwa hospital za serikali tu hamna hospital ya kuifikia sekotoure.. hospital ya mkoa na hapo kuna nyingine inajengwa ukerewe..
General inafika hapaπŸ‘‡
 
Jitekenye mwenyewe ..kwa hospital za serikali tu hamna hospital ya kuifikia sekotoure.. hospital ya mkoa na hapo kuna nyingine inajengwa ukerewe..
General inafika hapaπŸ‘‡View attachment 3216870View attachment 3216872View attachment 3216877
Endelea kujifariji πŸ˜€πŸ˜€hizo hospitali za Dom zote nilizokutajia ni za Serikali eti unalinganisha na Sekou Toure hadi unatuletea render....🀣🀣🀣
Cheki wenzenu DomπŸ‘‡πŸ‘‡
-National Millitary Hospital 80% ishakamilka
-City Hospital 80% ishakamilika
-Hospitali ya Taifa ya Mama na Mtoto... on progress
 
Oh...hyo render ni OPD ya hospital ya mkoa ipo kwenye manunuzi ya tender mwezi wa tatu mkandarasi anaingia site..
Hospital ya rufaa namba 2 ukerewe ipo asilimia 25
Hospital ya wilaya nyamagana ipo complete na wanaanza ujenzi wa jengo kubwa la OPD FLOOR 5
hospital za binafsi ndio usiseme .. Dodoma haigusi
 
Wewe unaona lipi Bora, mwananchi mwenye pesa za kuwekeza au mwananchi masikini anayesubiri serikali iwekeze ili achekelee
 
Dom hospital ni nyingi sana ,wakatinahangaika na hospital za Rufaa, Benjamin Mkapa ni National Hospital.Mirembe ni national hospital Kwa Ajili ya wagonjwa wa akili kama wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi hii hospital ya Taifa na Kina mama na Watoto imeanza kujengwa? Inajengwa sehemu gani na weka updates.
 
Mwanza bado ipo juu, ijapokuwa ni Kwa muda mfupi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…