Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hospital ya maana hapo ni Benjamin mkapa tuDom ni level nyingine... huu ni upendeleo sasa😀😀
-Mirembe "National" Hospital
-Benjamin Mkapa "Zonal Referral' Hospital
-General "Regional Referral" Hospital
-Miillitary Hospital
-Hospitali ya Taifa ya Watoto
-Uhuru Hospital
-Dodoma City Hospital
N.k
Unachekesha sana ....hizo za Dodoma nilizokutajia zote ni za Serikali na nimekuonesha na "status/level" zake kwa kila moja kuanzia "National",Zonal Referral,Regional Referral,Regional,DDH n.k apo bado sijakutajia za Kanisa na za taasisi nyingine binafsi.Hospital ya maana hapo ni Benjamin mkapa tu
Zingine ni takataka ukilinganisha na mwanza health services providers
Bugando
Sekotoure
Agakhan
MWANZA hospital
Kamanga medics
Uhuru
Tanzanite
utalii wa mawe utawafaa pia hawa jamaa😀😀Hutaona watalii hapo bushland
View attachment 3216805
Jitekenye mwenyewe ..kwa hospital za serikali tu hamna hospital ya kuifikia sekotoure.. hospital ya mkoa na hapo kuna nyingine inajengwa ukerewe..Unachekesha sana ....hizo za Dodoma nilizokutajia zote ni za Serikali na nimekuonesha na "status/level" zake kwa kila moja kuanzia "National",Zonal Referral,Regional Referral,Regional,DDH n.k apo bado sijakutajia za Kanisa na za taasisi nyingine binafsi.
Kwa Mwanza Hospitali pekee inayoweza kujipima ubora na za Dom ni Bugando ambayo inaendeshwa kwa ubia wa Kanisa na Serikali
utalii wa mawe utawafaa pia hawa jamaa😀😀View attachment 3216864
Endelea kujifariji 😀😀hizo hospitali za Dom zote nilizokutajia ni za Serikali eti unalinganisha na Sekou Toure hadi unatuletea render....🤣🤣🤣Jitekenye mwenyewe ..kwa hospital za serikali tu hamna hospital ya kuifikia sekotoure.. hospital ya mkoa na hapo kuna nyingine inajengwa ukerewe..
General inafika hapa👇View attachment 3216870View attachment 3216872View attachment 3216877
Oh...hyo render ni OPD ya hospital ya mkoa ipo kwenye manunuzi ya tender mwezi wa tatu mkandarasi anaingia site..Endelea kujifariji 😀😀hizo hospitali za Dom zote nilizokutajia ni za Serikali eti unalinganisha na Sekou Toure hadi unatuletea render....🤣🤣🤣
Cheki wenzenu Dom👇👇
-National Millitary Hospital 80% ishakamilka
-City Hospital 80% ishakamilika
-Hospitali ya Taifa ya Mama na Mtoto... on progress
Ofcourse Mwanza is the best place for slums tourism....huwezi kukuta slums kama hizi Dom hii ni unique feature ya Mwanza JijiView attachment 3216881View attachment 3216882View attachment 3216884
Ni lies detected..huku kila kitu kinavutia ,,waje huko kutalii nini ,,au hawataki kupashwa na upepo mkali wenye vumbi
Ofcourse Mwanza is the best place for slums tourism....huwezi kukuta slums kama hizi Dom hii ni unique feature ya Mwanza Jiji View attachment 3216911View attachment 3216912
Wewe unaona lipi Bora, mwananchi mwenye pesa za kuwekeza au mwananchi masikini anayesubiri serikali iwekeze ili achekeleeEndelea kujifariji 😀😀hizo hospitali za Dom zote nilizokutajia ni za Serikali eti unalinganisha na Sekou Toure hadi unatuletea render....🤣🤣🤣
Cheki wenzenu Dom👇👇
-National Millitary Hospital 80% ishakamilka
-City Hospital 80% ishakamilika
-Hospitali ya Taifa ya Mama na Mtoto... on progress
Dom hospital ni nyingi sana ,wakatinahangaika na hospital za Rufaa, Benjamin Mkapa ni National Hospital.Mirembe ni national hospital Kwa Ajili ya wagonjwa wa akili kama wewe 😂😂Oh...hyo render ni OPD ya hospital ya mkoa ipo kwenye manunuzi ya tender mwezi wa tatu mkandarasi anaingia site..
Hospital ya rufaa namba 2 ukerewe ipo asilimia 25
Hospital ya wilaya nyamagana ipo complete na wanaanza ujenzi wa jengo kubwa la OPD FLOOR 5
hospital za binafsi ndio usiseme .. Dodoma haigusi
Hivi hii hospital ya Taifa na Kina mama na Watoto imeanza kujengwa? Inajengwa sehemu gani na weka updates.Endelea kujifariji 😀😀hizo hospitali za Dom zote nilizokutajia ni za Serikali eti unalinganisha na Sekou Toure hadi unatuletea render....🤣🤣🤣
Cheki wenzenu Dom👇👇
-National Millitary Hospital 80% ishakamilka
-City Hospital 80% ishakamilika
-Hospitali ya Taifa ya Mama na Mtoto... on progress
Kila siku una post renders,tumechoka bwana weka progress 😂😂Jitekenye mwenyewe ..kwa hospital za serikali tu hamna hospital ya kuifikia sekotoure.. hospital ya mkoa na hapo kuna nyingine inajengwa ukerewe..
General inafika hapa👇View attachment 3216870View attachment 3216872View attachment 3216877
Hapo mbona town kabisa.Kubwa lao ni hizi hapa 👇👇utalii wa mawe utawafaa pia hawa jamaa😀😀View attachment 3216864
Mwanza bado ipo juu, ijapokuwa ni Kwa muda mfupi tuNajua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD
Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.
Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.
CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo, Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.
MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"
II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.
III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.
IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)
V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.
But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.
TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.