Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

subiri Mikdde aje kukwambia eti Dodoma ardhi yake ni jangwa haifai kwa kilimo😆😆.Cha kushangaza Dodoma wapo kwenye top list ya uzalishaji wa mahindi kati ya mikoa yote 31 ya Tanzania 😀😀👇
1741088421585.png
 
subiri Mikdde aje kukwambia eti Dodoma ardhi yake ni jangwa haifai kwa kilimo😆😆.Cha kushangaza Dodoma wapo kwenye top list ya uzalishaji wa mahindi kati ya mikoa yote 31 ya Tanzania 😀😀👇a

Licha ya kwamba Hako ni kasoko kabaya ila mumshukuru Samia.

Dom HQ 👇 👇

View: https://x.com/ayubu_madenge/status/1897934050947379315?t=fwStXqi63JiIG5GaYzU-Mg&s=19

Huwezi pata neighborhood kali kama hii hapo ukameni

View: https://youtu.be/ipESAwyOc44?si=83XWNreCeTLpA2Lj
 
Vichwa maji watasema hii ni London sio mwanza😂😂😂😂hatutaki makelele mengi kuitangza mwanza ila inajitangaza yenyewe Hilo halina ubishi kama wewe ni WA mwanza jipige kifua na ufungue vishikizo vyote utembee kifua mbele mwanza tamu Iam in Dar still mwanza is my hood

Tofauti na uswazi slums Kuna kipi Cha maana wewe umeona hapo? 😂😂

Dom HQ 🔥 🔥 👇 👇

View: https://youtu.be/7XTetqNHnek?feature=shared
 
Kilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza 😨

Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.

Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.

Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.

Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Cc
BODI ya ligi
 
Dalili ya maumivu na kukata tamaa 😂😂

Dom HQ CBD yenye gorofa 2 😂😂👇👇

View: https://youtube.com/shorts/Ho52-ug2Iqs?feature=shared
 
Back
Top Bottom