subiri Mikdde aje kukwambia eti Dodoma ardhi yake ni jangwa haifai kwa kilimoππ.Cha kushangaza Dodoma wapo kwenye top list ya uzalishaji wa mahindi kati ya mikoa yote 31 ya Tanzania πππ
Licha ya kwamba Hako ni kasoko kabaya ila mumshukuru Samia.
subiri Mikdde aje kukwambia eti Dodoma ardhi yake ni jangwa haifai kwa kilimoππ.Cha kushangaza Dodoma wapo kwenye top list ya uzalishaji wa mahindi kati ya mikoa yote 31 ya Tanzania πππa
Huwezi pata neighborhood kali kama hii hapo ukameniLicha ya kwamba Hako ni kasoko kabaya ila mumshukuru Samia.
Dom HQ π π
View: https://x.com/ayubu_madenge/status/1897934050947379315?t=fwStXqi63JiIG5GaYzU-Mg&s=19
Wasisitize wapitie kwa makini Kuna kitu watajifunza bure kabisa kupitia video hii.Huwezi pata neighborhood kali kama hii hapo ukameni
View: https://youtu.be/ipESAwyOc44?si=83XWNreCeTLpA2Lj
Jamaa kaacha sehemu nyingi sana.. mwenyeji wake kazingua sanaHuwezi pata neighborhood kali kama hii hapo ukameni
View: https://youtu.be/ipESAwyOc44?si=83XWNreCeTLpA2Lj
Slums made City ππ
Huwezi pata neighborhood kali kama hii hapo ukameni
View: https://youtu.be/ipESAwyOc44?si=83XWNreCeTLpA2Lj
Dom HQ ni Makao ya wenye hela na wasomi ππWasisitize wapitie kwa makini Kuna kitu watajifunza bure kabisa kupitia video hii.
Vichwa maji watasema hii ni London sio mwanzaππππhatutaki makelele mengi kuitangza mwanza ila inajitangaza yenyewe Hilo halina ubishi kama wewe ni WA mwanza jipige kifua na ufungue vishikizo vyote utembee kifua mbele mwanza tamu Iam in Dar still mwanza is my hood
Tofauti na uswazi slums Kuna kipi Cha maana wewe umeona hapo? ππ
CcKilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza π¨
Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.
Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.
Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.
Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Dalili ya maumivu na kukata tamaa ππKilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza π¨
Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.
Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.
Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.
Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Huu uchafu gani?? bora na manispaa ya moshi na iringa mambo mengine yanahitaji aibu inatosha.Dalili ya maumivu na kukata tamaa ππ
Dom HQ CBD yenye gorofa 2 ππππ
View: https://youtube.com/shorts/Ho52-ug2Iqs?feature=shared
Tajiri haishi kwenye vinyumba uniform kama kambi ya wafanyaki wa reliway nendeni Mwanza na Dar au Nairobi mjifunze ndo maana serikali inasema hizo nyumba za bei nafuu.
Safi sana.. ingekuwa hii ripoti ipo mwanza..tungekoma..haya kuleni NHC na mji wa serikali πΉπΉπΉπMwanza is slums ilikuwa ni Kati ya Milo fukara hapa Tanzania ila imejikongoja ikatoka huko so Dom HQ ndio wamebakia.
Dom ipambane Sasa kuinua kipato Cha watu wake ,haipendezi HQ kuwa na sifa hii Dodoma, Coast lag in incomes despite economic significance