Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

At least umeanza kukiri mwenyewe kuwa mwanza imeshatoka huko.
Sio swala la at least Mimi kukiri,yaelekea huelewi hoja.

Miaka 5 iliyopita ukichukua Mikoa 10 maskini Mwanza ilikuwepo ila ime graduate in less than 4 years ago.

Kama ambavyo Mwanza imetoka ndivyo na Dom itatoka Kwa sababu ukuaji wa GDP wa Dodoma unaenda vizuri.Haifiki 2030 watakuwa waetoka.

View: https://youtu.be/8RSHQJuq2NA?feature=shared
 
Kuna mtu alituambia Dodoma ni mji mdogo unaweza kutembea sikumoja ukaumaliza.......yaani eti unaweza kutembea kutoka Mtumba hadi Nala, Mkonze hadi Msalato ndani ya sikumoja πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa kutoka mtumba hadi nala ..katikati kuna machaka na misitu na vijiji
 
Hatuna shida na vijumba kama kambi za misaada ya wakimbizi

Mwanza is another level πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20250313_091854.jpg
    725.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…