Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

At least umeanza kukiri mwenyewe kuwa mwanza imeshatoka huko.
Sio swala la at least Mimi kukiri,yaelekea huelewi hoja.

Miaka 5 iliyopita ukichukua Mikoa 10 maskini Mwanza ilikuwepo ila ime graduate in less than 4 years ago.

Kama ambavyo Mwanza imetoka ndivyo na Dom itatoka Kwa sababu ukuaji wa GDP wa Dodoma unaenda vizuri.Haifiki 2030 watakuwa waetoka.

View: https://youtu.be/8RSHQJuq2NA?feature=shared
nhctanzania_1741796403871.jpg
nhctanzania_1741796405830.jpg
nhctanzania_1741796405409.jpg
nhctanzania_1741796405598.jpg
nhctanzania_1741796404670.jpg
nhctanzania_1741796405184.jpg
nhctanzania_1741796406486.jpg
nhctanzania_1741796406664.jpg
nhctanzania_1741796406076.jpg
nhctanzania_1741796406280.jpg
 
Kuna mtu alituambia Dodoma ni mji mdogo unaweza kutembea sikumoja ukaumaliza.......yaani eti unaweza kutembea kutoka Mtumba hadi Nala, Mkonze hadi Msalato ndani ya sikumoja πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa kutoka mtumba hadi nala ..katikati kuna machaka na misitu na vijiji
 
Awamu ya kwanza done and fully occupied
View attachment 3269057

Mikdde atachukia kuona awamu ya pili ya ujenzi wa nyumba 3,500 umeanza.

Hakika Dom HQ inawapiga dole mbaya sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DHIgzLYIjvu/?img_index=10&igsh=MWpxYnU1N2w2cWtsNQ==View attachment 3269047View attachment 3269049View attachment 3269050View attachment 3269051View attachment 3269052

Hatuna shida na vijumba kama kambi za misaada ya wakimbizi

Mwanza is another level πŸ‘‡
20250313_091854.jpg
 

Attachments

  • 20250313_091854.jpg
    20250313_091854.jpg
    725.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom