Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ukiona tuu picha ya Mwanza utaitambua Kwa slums na tugorofa twa kuokoteza katikati ya Extensive slums πŸ˜†πŸ˜†
Dodoma isiyo na tugorofa twa kuokoteza🀣🀣🀣yaani Dodoma ni zaidi ya Mwanza na Dubai
 

Attachments

  • 2963613_thumb_2392_800x420_0_0_auto.jpg
    131.1 KB · Views: 1
Ukiona tuu picha ya Mwanza utaitambua Kwa slums na tugorofa twa kuokoteza katikati ya Extensive slums πŸ˜†πŸ˜†
Alafu hii ndo mwanza ya tugorofa twa kuokoteza
 

Attachments

  • JamiiForums1175123581.jpg
    111.5 KB · Views: 1
  • 2276865_IMG_20200117_000419.jpg
    48.5 KB · Views: 1
  • JamiiForums-1747819102.jpg
    81.9 KB · Views: 1
  • JamiiForums400908168.jpg
    133.4 KB · Views: 1
  • JamiiForums37919116.jpg
    68.5 KB · Views: 1
Dodoma isiyo na tugorofa twa kuokoteza🀣🀣🀣yaani Dodoma ni zaidi ya Mwanza na Dubai
Umewahi kufika Dodoma au umesimuliwa tuπŸ˜€πŸ˜€
-
idadi ya maghorofa UDOM pekeyake ni sawa na idadi ya maghorofa ya Mwanza City Centre ,
-Bado sijakutajia maghorofa ya Magufuli City,Tambukareli,Njedengwa Investment Area,City Centre,Mji Mpya,Kisasa n.k
 
Mimi nimepost picha povu la kazi gani.?? Hayo magorofa ya mdomoni yamejengwa kwa material gani?? 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…